Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Sawa madame,
Je miguu nayo inavimba?
Ni vizuri kwenda kuchack pressure na lab tests za ini, figo na madini mwilini.
Inawezekana pia hizo zikawa varix ambazo mara nyingi hutokea kwenye miguu lakini zinaweza pia kutokea sehemu nyingine. Ili kujua kama ni zenyewe au sio inabidi mtaalamu azione. Dawa yake huwa ni venotonic agents.
Kwa sasa ninakushauri upake heparin gel kabla ya kulala na asubuhi. Hii itasaidia damu isigande iwapo kuvimba kunasababishwa na mkusanyiko wa damu.
Ngoja wataalam wawili tushee ujuzi hapa.
Mkuu ZeMarcopolo, mimi nafikiri umeongea more mechanical bila oil. Mimi navyojua hot post huwa inavimba ikiwa teased. Damu hujaa pale baada ya ZeHamu kutokea. Sasa labda tufikirie factors zinazoleta msisimko kwa bibie asubuhi. Anachotakiwa kuexperiment ni kama ikivimba halafu akapigwa mpododo je huwa inanywea?
Ikiwa ninachokiwaza kitakuwa kina mantiki, basi nina mashaka kama atakubali tiba, maana inakemewa sana kule kanda ya ziwa na Dodoma, Singida na Kilimanjaro
Last edited by a moderator: