Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Uko wapi nikutumie dawa bora ambayo utaleta mrejesho hapa?
Imetengenezwa na madaktari bingwa toka India na Usa baada ya utafiti wa miaka 7
 
Tatizo laweza kuwa sio kinywa tatizo linaweza kuanzia tumboni unakojaza vyakula visivyosagika kirahisi na matokeo yake vinaoza na kushindwa kutoka kwa njia ya haja kubwa hivyo unabaki kutembea na choo tumboni na harufu kutokea kinywani.
Naweza kukubaliana nawe hasa kwenye hiyo point.
Kuna jamaa yangu anaswaki mara mbili kwa siku,tena kwa mswaki ambao haujachakaa,anaswaki muda ulioshauriwa kwa maana anahakikisha kuwa anagusa maeneo yote ya mdomo lakini hilo tatizo halijaisha.
Hakuna sababu zingine za mdomo kutoa harufu?
 
Tumia bicarbonate of soda au baking soda na limau
weka bicarbonate kijiko kimoja kwenye kikombe then kamulia limao
tumia mswaki kusugulia meno kwa mda wa wiki 2...hua inaondoa kabisa harufi
 
Tumia bicarbonate of soda au baking soda na limau
weka bicarbonate kijiko kimoja kwenye kikombe then kamulia limao
tumia mswaki kusugulia meno kwa mda wa wiki 2...hua inaondoa kabisa harufi
Najuaga hii inatakatisha meno kumbe ata kutoa harufu
 
When you remove the source will be healthy completely

Kunywa maji mengi one hr before usingizi kunywa maji mengi asbh

It might coming from the gut

Jitahidi kula chakula cha nyuzi nyuzi kitakusaidia

Ila ikishindikana nenda Hosp
Possibily you are suffering from dental diseases

Yeh
 
Umesema kweli kabisa
 
Aisee pole sana ndugu.

Swali lingine, hivi utajijuaje kama unatoa harufu mdomoni, manake unaweza jitamba unaongea sana kumbe unatoa harufu mdomoni halafu hujui.

Njia sahihi ya kujua kama unatoa harufu mdomoni wewe mwenyewe ni zipi jamani???
Njia sahihi ni kulamba nyuma ya kiganja/ kiwiko cha mkononi Halafu nusa Ndio kipimo pekee kujua harufu itokayo mdomoni Kwako[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…