Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

hii sayansi duh hapana aisee
 
Lamba eneo la ngozi baada ya kiganja. Baada ya sekunde 5 panuse. Harufu utakayoisikia ndio wanayosikia wenzio ukiongea nao kwa ukaribu. Cku njema.
 
Ni tatizo ambalo linaninyima amani jaman kwa anaefaamu dawa ya kuzuia kabisa tusaidiane
Pole sana, Sugua kinywa chako vizuri na pia usugue ulimi ipasavyo.

Kuna majani fulani tulikuwa tunatafuna kijijini ni zaidi ya dawa ya meno ila sijui yanaitwaje na siwezi kuyaelezea.
 
chemsha majan ya mpera,,,,hakikisha unakunywa,,,glass moja asbh na jion kwa muda wa siku saba ukiwa imepoa
 
Ni tatizo ambalo linaninyima amani jaman kwa anaefaamu dawa ya kuzuia kabisa tusaidiane
Wakati mwingine hilo tatizo husababishwa na tatizo la kutopata choo ipasavyo. Kunywa maji mengi ili kufanya mmeng'enyo wa chakula uwe rahisi na kuondoa tatizo la constipation, utapunguza au kuondoa kabisa tatizo lako.
 
Penda kuongea ongea sana mdomo hautanuka.

Otherwise piga mswaki vizuri sugua kila kona ya mdomo, ulimi, meno n.k kila baada ya mlo.

Ikifikia haja tumia mouth wash.
 
Ni tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu hadi nakosa Amani naomba msaada nifaamu dawa
Ngoja kwanza. ID yako ya muda wote ni nani? Hii tabia ya kufungua ID mpya ina maana gani wakati hakuna anayekujua humu?

Ukijibu ndio nakuja kukupa ushauri.
 
Ukiamka asubuhi tafuna bi G aina ya gorilla kwa muda wa sekunde kadhaa,baada ya hapo kunywa maji kama glass moja au mbili then brush kinywa vzr na kwa usahihi (hiyo no asubuhi)

Jioni baada ya kula lamba lamba asali mbichi,kunywa maji ya kutosha,chokonoa meno vzr yasibaki mabaki ya chakula kwenye meno baada ya hapo brush kinywa kwa kutumia dawa ya maji yenye mint
 
mkuu alipona kabisa huo ugonjwa wa mdomo?? Hilo tatizo halikurud tena baada ya mda ?
 
......harufu hii hutokea tumboni direct atasugua mafizi wee mpaka atachoka....je wajua wapo watu wanaojamba kupitia midomo yao?soln.......
wacha nijijibu maana hata sikumbuki kama nilijibu kwa usahihi namna hio miala 3 iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…