Kinywa kutoa harufu mbaya Mdomo Mtu mwenye huo Ugonjwa atachukuwa Asali Safi ya nyuki iliyo mbichi haijapikwa, Asali vijiko 2 aikoroge katika maji
na ayachemshe katika moto mdogo mpaka yatoe moshi na avute puani moshi huo mdomoni kupitia kwenye paipu ya (bomba) iliyofungwa vizuri juu ya
chombo. Tiba hii atakuwa akiendelea nayo pamoja na kutafuna nta ya asali. Harufu mbaya ya Mdomoni itaondoka kabisa.
Nina tatizo la kutokwa na harufu mbaya kinywani..je nitumie dawa gani ili tatizo langu liishe kabisa..
Mwanangu anatumia vema mswaki kila asubuhi.lakini ukimsogelea anatoa harufu mbaya mdomoni akiongea,hivi tatizo inaweza kuwa nini,na tiba yake ni nini.
nitashukuru wadau
Paipu ni ni mpira wamaji kiasi gani mkuu,na chombo cha kuvutia cha ain gan
Kuna wakati mwanamke anataka asikie kiharufu cha mumewe cha asili (and vice versa), sasa ukiondoa yote unataka mdomo unukie harufu ya SUPERMARKET muda wote....Utafanyaje sasa mkuu wakati unataka unukie vizuri?
umenikumbusha kwa bibimuda wote hakikisha unakuwa na mswaki ikiwa huna dawa tumia hata mkaa au majivu...
Mkuu hujafafanua ni asali ipi, je ni ya nyuki wadogo au ni ile ya kawaida?
Mmmmhhh...hapo tu ndipo kwenye utataKunywa kizibo cha karafuu kila umalizapo kupiga mswaki pia Weka kwny pamba mafuta ya karafuu na kupakaa meno ndani na Nje then acha kipande cha pamba ndani ya mdomo usikimeze kwa masaa 6.
Asikuone nyumbani? unatafuta matatizo zaidi kwa mama mjamzito mkuu...