Tatizo la kuwa na hasira hata kwa jambo dogo!

Financial position yako iko sawa sawa!una watoto wangapi mkuu!Familia imeongezeka ukubwa!Mke uliye naye ni chaguo lako au umegundua ulikosea! n.k,n.k n.k....
 
Financial position yako iko sawa sawa!una watoto wangapi mkuu!Familia imeongezeka ukubwa!Mke uliye naye ni chaguo lako au umegundua ulikosea! n.k,n.k n.k....

Mkuu bado sina watoto lakini kuna watu kadhaa wananitegemea. Kuhusu financial iko normal tu sio kubwa wala sio ndogo ninachokipata ni cha kawaida tu na kinakidhi tu haja za hapa na pale..
Je kufikiria kuhusu kuongeza kipato inaweza ikawa tatizo?? Namaanisha kuwa na mawazo ya kufanya biashara itayoongeza kipato na kutokupata majibu ya hayo mawazo hayo inaweza kuwa tatizo?? Kama ni hivyo hapa suluhu ni ipi??
 
If you believe in God he is the answer for your problem,talk to him,tell him what you need,he is there for whoever in need and trust him,just make a wish.
 
jitahidi kuepuka mambo yanayokukwaza,watu ambao huelwani nao,kaa na watu unaowapenda,jaribu kufanya vitu vinavyokufurahisha eg listening music,watching movies,swiming, pia kama umekaa kwenye mazingira ya aina moja kwa muda mrefu jaribu kubadilisha mazingira even for the weekend unaweza ukaenda sehemu mbali na nyumbani ukapumzika na pia jaribu kujiweka bize kiasi ili usiwaze mawazo yanayokutibua
 
Je ulikuwa na matarajio ya jambo fulani kufanikiwa kwa ufanisi mkubwa? Mfano wewe au moja ya wategemezi wako kufaulu mitihani ya shule, kupongezwa na wanandugu kwa mchango unaowapa, kuthaminiwa na jamaa wa kazini n.k. Je mazingira ya kazi ni tulivu kwa afya ya akili (yaani yenye hewa, muda wa kupumzika, maelewano n.k)? Je umepangiwa majukumu mapya na ofisi au jamii kana kwamba unaona si sahihi?
Swala la hasira linaweza kujengeka kidogo kidogo sana kutokana na chuki, kuonewa, n.k, ila baada ya muda mrefu huwa vigumu sana kuondoa. Pia si rahisi kudumisha furaha kwa muda wote, kuna kipindi grafu inakuwa juu. Kudumu kwa hali hiyo kunategemea jitihada za mtu, kwa hiari na dhamira yake, kutaka kubadili mtizamo juu ya yale yanayoingia akilini kupitia milango ya fahamu. Jitihafa za ziada zinahitajika ili kubadili, hususani, maovu yafanane na mema.
Ikiwa kama hali itadumu kwa muda zaidi, nenda kawaone wataalamu wa ushauri nasaha. Kupuuzia mambo madogo kama haya kunaweza kupelekea utahira.
 

ndio mkuu kuna baadhi ya vitu pia vili plan kwa muda mrefu lakini sijafanikiwa ki ukweli ikiwemo mambo ya kuanzisha ya biashara mpya ili kukabiliana na hali ngumu kimaisha mambo ya kimasomo hayakuwa mazuri kabisa kutokana na kipato. Majukumu pia yanaongezeka daily kutokana na ushauri wa wadau inawezekana hivi ni mojawapo ya hili tatizo linaloniandama..
 

Dawa ni kuongozana na mabaunsa kila unaposikia hasira, utaacha tu
 
u can b a gud filosofa, u r a critical reasoner in almost evry thng!
 
uwe unapita humu JF mara kwa mara na taratibu hasira zako zitaanza kupungua kwa sababu JF is never boring!! But be carefull it is very addictive..

Is it true? How?
Mbona mimi nikiwa na hasira nikichungulia tu huku [jf] naambulia ban?
 
Hii nadhani itakuwa ni sababu mojawapo kwenye swala la movie utakuwa right mkuu. Huwa nakesha nikiangalia documentary za kusikitisha sana ngoja niachane nazo nione matunda yake...

May be! But sidhani kama hiyo ni sababu, kwa mtazamo wangu, hii inaweza kuwa sababu in addition not source!!!
...
Wacha nikuambie kitu hapa!
Pschologically, your problem fall under Adjustment disorder = reaction of something beyond what expected! This this is called psychological disorder!
...
Ili kupata source, hem nijibu hapa!
Jee haujapoteza uaminifu kwa mtu or kitu chochote? = kunakitu/mtu ulikuwa unakiamini/unamuamini na baada ya fact fulani ukagundua ulikuwa unaamini kitu ambacho hakina ukweli!
Jee haukukutana hiyo hali?
 
Hyo ni moja kat ya dalalili kubwa ya ugonjwa wa Ukimwi so jarbu kupima pia
 
hilo tatizo haliitaji vidonge hilo ni pepo nenda kaombewe mie mwenyewe limenitokea but now toka jikemee nimepona VIGEZO NA MASHARTI YA IMANI YAKO HUZINGATIWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…