Isaac Chikoma
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 475
- 101
mkuu zinakuwa dalili za ugonjwa gani?
sana sana malaria ikinianza ndo nakuaga na hasira hasira sitaki hata mtu anisemeshe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu zinakuwa dalili za ugonjwa gani?
Financial position yako iko sawa sawa!una watoto wangapi mkuu!Familia imeongezeka ukubwa!Mke uliye naye ni chaguo lako au umegundua ulikosea! n.k,n.k n.k....
If you believe in God he is the answer for your problem,talk to him,tell him what you need,he is there for whoever in need and trust him,just make a wish.Mkuu bado sina watoto lakini kuna watu kadhaa wananitegemea. Kuhusu financial iko normal tu sio kubwa wala sio ndogo ninachokipata ni cha kawaida tu na kinakidhi tu haja za hapa na pale..
Je kufikiria kuhusu kuongeza kipato inaweza ikawa tatizo?? Namaanisha kuwa na mawazo ya kufanya biashara itayoongeza kipato na kutokupata majibu ya hayo mawazo hayo inaweza kuwa tatizo?? Kama ni hivyo hapa suluhu ni ipi??
Je ulikuwa na matarajio ya jambo fulani kufanikiwa kwa ufanisi mkubwa? Mfano wewe au moja ya wategemezi wako kufaulu mitihani ya shule, kupongezwa na wanandugu kwa mchango unaowapa, kuthaminiwa na jamaa wa kazini n.k. Je mazingira ya kazi ni tulivu kwa afya ya akili (yaani yenye hewa, muda wa kupumzika, maelewano n.k)? Je umepangiwa majukumu mapya na ofisi au jamii kana kwamba unaona si sahihi?
Swala la hasira linaweza kujengeka kidogo kidogo sana kutokana na chuki, kuonewa, n.k, ila baada ya muda mrefu huwa vigumu sana kuondoa. Pia si rahisi kudumisha furaha kwa muda wote, kuna kipindi grafu inakuwa juu. Kudumu kwa hali hiyo kunategemea jitihada za mtu, kwa hiari na dhamira yake, kutaka kubadili mtizamo juu ya yale yanayoingia akilini kupitia milango ya fahamu. Jitihafa za ziada zinahitajika ili kubadili, hususani, maovu yafanane na mema.
Ikiwa kama hali itadumu kwa muda zaidi, nenda kawaone wataalamu wa ushauri nasaha. Kupuuzia mambo madogo kama haya kunaweza kupelekea utahira.
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa mtu mwenye hasira nyingi tofauti na zamani. Mtu anaweza kunikorofisha kwa jambo dogo ila mimi nikalichukulia kwa mapana sana.. Sijajua tatizo ni nini ila hiki kitu nakuta kimenitokea tu.
Je hili jambo linasababishwa na nini?
Ipi suluhu yake na kuna dawa yeyote ya kutatua tatizo hili ili hali yangu irudi kama zamani?
Msaada tafadhali.
hapo peusi, ukianza kuumwa homa ya mwezi au..??nenda ukachek hospital,mimi nakuwaga hivyo nikianza kuumwa .
Gegeda mara kwa mara.
uwe unapita humu JF mara kwa mara na taratibu hasira zako zitaanza kupungua kwa sababu JF is never boring!! But be carefull it is very addictive..
Hii nadhani itakuwa ni sababu mojawapo kwenye swala la movie utakuwa right mkuu. Huwa nakesha nikiangalia documentary za kusikitisha sana ngoja niachane nazo nione matunda yake...