Tatizo la kuwa na ndoto au mono kama huu ni nini?

Tatizo la kuwa na ndoto au mono kama huu ni nini?

king fighter

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
19
Reaction score
5
Kunabaadhi ya siku nikilala huwa nashindwa kuhema nahisi kama nahamishwa mahali kwingine je! hii inasababishwa na nini na ntaepukaje hili jambo pia likinitokea huwa nashindwa hata kuinua mkono au kiungo chochote cha mwili.
 
Hili suala lilishawahi kufafanuliwa na wataalamu mara nyingi, huwa inasababishwa na kulala vibaya kiasi kwamba kuna kuwa hakuna mawasiliano let say kutoka kichwani kwenda miguuni au mikononi, ndio maana ubongo unaamrisha mkono unyanyuke, ila inashindikana kwa sababu hakuna mawasiliano, ni suala la kibaiolojia.
 
Na linaepukika vipiiiiiiiiiiiii na huwa hata kabla cjalala nimejigesha tu ndo shida inaanza hapohapo
 
Hali hiyo naskia tu kwa watu, haijawahi nitokea ata siku moja.
 
Back
Top Bottom