Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

Nikutoe hofu tu....kila mtu anasehem zake Yan Kuna Dem ukikutana nae hata ufanyaje lazma uwah tu na wengine lazma uchelewe.. mi nahs inategemea na upendo
Wakati mwingine nahisi inategemea una hisia kiasi gani kwa mwanamke unaefanya nae. Nakumbuka nilifanya na mwanamke ambae sikua na hisia nae kiivyo bao la pili halikutoka kwa zaidi ya masaa mawili na halikutoka kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeniongezea mbinu ya kivita kesho lazima godoro lianikwe
 
Yaah nikwel kbsa hata mm ishanitokea.unasugua mpk papuchi inawaka moto maji kwishaaa unapakaa mate hamna kitu mwishowe unamuacha maana anapata maumivu tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa nini ujizuie kukojoa, makusudi au
 
Kweli kabisa, hasa hasa tabia ya kufanya mazoezi
 
Ni muhimu kuwa na plan B, inapotokea baba la baba umeoambana ya hela yote usipizi mapema lakin ikashindikana just relax na usichomoe dushe liache kwenye k then endelea kukita taratibu huku ukivuta hisia, hii plan B inahita uwe stress free ndio utaweza kusimamisha dushe punde tu baada ya kupizi. This works for me, na kadiri ninavofanikiwa ndo nazidi kuzicontrol stress na ninaperform fresh. Jaribu hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4, 5 ,na 7 ni muhimu sana.

mf. Hisia; Kwa mtu ambaye umempenda saaana! ukamweka kwenye hisia sana huwezi kufika popote. Ila kama mtu huyo unafanya tu mradi hata humpendi sana, utapata shida sana kufika mlimani.

ila style hiyo ni balaa sana! acheni kifo cha mende tu!

Movie zingine zinakuondolea hilo tatizo. maana kule wanaigiza, wanafanya mambo kibao ambayo uhalisia huwez hivyo hutaridhika na hivyo kuchelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo para ya pili nimecheka japo ina ukweli, ni kutawala akili yako. ufanya kama hufanyi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyao mazoezi huwa wanawahi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…