Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili


Mi nimemaliza huyo dada niliyemquote kwa nini ajizuie kukojoa, nataka anijibu yeye.
 
Wataalamu wa hizi njia njooni mtupe semina jamani, wake zetu wanalalamika hawasuguliwi vizuri, unakuta mwanamke yupo na jazba siku nzima kisa hajasuguliwa vyema, njooni jamani
 
Mwenzenu Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni hili limejitokeza baada ya kuwa single kwa muda wa miezi 10 na baada nikapata mchumba na kuingia nae golini kwa mara ya Kwanza na nikajikuta napata aibu.

Japo kipindi cha nyuma sikua hivyo nilikua nguli sana mpaka naulizwa baby Bado tu...!
Mnishauri niwe na wanawake (ninae mmoj kwa sasa) wangapi na niwe nafanya tendo mara ngapi maana nafanya kwa mwezi mara moja tu.

Msaada please.
 
baki na huyo huyo mmoja
 
kwani ni kilele gani hicho unachochelewa kufika sio cha mlima kilimanjaro kweli????
kibo na mawenzi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huna tatizo lolote ni wasiwasi tu unakusumbua kwa sababu ya upya wa mbunye. Ukirudia game mara ya pili utaona mabadiliko
 
Mwanaume rijali unakaaje miezi 10 bila kupapuchika?
10 months bila hii kitu, wakati wengine 2 months utawakuta ICU

Kuna tatizo kubwa umelificha!
 
Mkuu vp lete mrejesho? kuna mbinu yoyote ilokusaidia? kama hakuna vaa kiremba hutajutia.
 
Kwa nyie wanawake???!!! Nilijuaga wewe ni mbaba...jf ni zaidi ya tuijuavyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifanya mapenzi ukiwa na hofu flani unachelewa sana kufika kileleni

Jijengee kahof flani ka muda mfupi kuhusu huyo unaemnjunja hakika utachelewa kufika.

Mfano aliemla dada jambazi kule kwenye uzi wa kulana kimasihara, nadhani alienda tako 100 bila wazungu kufika top

Ni maoni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…