mie ndo nalala na kuamkia hapa na kazini kesho sendi,kumbe huwa mnapulizia nanihii wanaume wa kileo kumbe karibia wote .5Naona wewe na Shosti mmekuja na magodoro kabisa kwenye thread hii hahaha! Nafahamu hamuwezi kukubali eti mechi iishe dakika 1-3 ndio maana nimempa ufumbuzi at least atapiga danadana dakika 15-20 lol!
dk 1 imekuwa mchuzi unaonja! Lol.Naona wewe na Shosti mmekuja na magodoro kabisa kwenye thread hii hahaha! Nafahamu hamuwezi kukubali eti mechi iishe dakika 1-3 ndio maana nimempa ufumbuzi at least atapiga danadana dakika 15-20 lol!
Kama umesoma vizuri huu ni ufumbuzi wa muda mpaka atakapojiamini na kuacha 'kiherehere' kwenye kufanya mapenzi.mie ndo nalala na kuamkia hapa na kazini kesho sendi,kumbe huwa mnapulizia nanihii wanaume wa kileo kumbe karibia wote .5
Si ndio hapo unaona kila msichana anakukimbia kumbe tatizo ni kama hili.dk 1 imekuwa mchuzi unaonja! Lol.
Duh, kumbe wadau wanatusanifu sana pale inapochukua dk moja mtu kesha fika mwisho wa reli. Aise jitahidi kupata maujanja mapya otherwise itakuwa issue.Husn umenifurahisha kwa kusema ukweli kwa hiyo inabidi niongeze angalau 20mins!!vp mkuu hyo delay spray inauzwa pharmacy zote au n aina ip ya phamarcy na vp madhara yake maana isje ikawa na other problem!
Zinauzwa pharmacy zote tumia kwa muda baadae hutahitaji utakuwa tayari unajimudu na utapenda unavyomfikisha mamsap,haina madhara kama huitumii zaidi ya miezi 3.vp mkuu hyo delay spray inauzwa pharmacy zote au n aina ip ya phamarcy na vp madhara yake maana isje ikawa na other problem!
Kasema dakika 1 akichelewa sana 3 na mwanamke anahitaji sio chini ya dakika 10-15 kwahiyo chini ya hapo unakimbiwa au kukwepwa kwenye gemu(ooh nimechoka,naumwa kichwa,na usingizi n.k. )AAsee!
Kuwahi kwa mujibu wa kiuno chako ni dk ngapi? Sema usaidiwe.
Dakika moj??? duh!Kasema dakika 1 akichelewa sana 3 na mwanamke anahitaji sio chini ya dakika 10-15 kwahiyo chini ya hapo unakimbiwa au kukwepwa kwenye gemu(ooh nimechoka,naumwa kichwa,na usingizi n.k. )
Toka mwezi wa 5 hujajaribu hata spray ?its interesting kuona watu mnanpa mawazo ntayazngatia yote na kwa lile litakalofanikiwa ntarud kushukuru! Japo majungu yapo pia lakn hl n tatzo na najua n vjana weng wana ths problem na walitatua yao nngependa mbnu walizotumia nzjue nami ntumia
Hajapata wa kujaribu nae bana!!!Toka mwezi wa 5 hujajaribu hata spray ?
Aende hata kona bar si anajaribu kama tiba inafanya kazi ? akirudi kwa yulee anaambiwa 'ulikuwa wapi siku zote' lol!Hajapata wa kujaribu nae bana!!!
Mpe Muda.........akipata atakwambia.
hahahahaa!!
Zinaanzia elfu 5-10.Jaman hiyo spray inauzwa bei gan?
vp mkuu hyo delay spray inauzwa pharmacy zote au n aina ip ya phamarcy na vp madhara yake maana isje ikawa na other problem!
Kama umesoma vizuri huu ni ufumbuzi wa muda mpaka atakapojiamini na kuacha 'kiherehere' kwenye kufanya mapenzi.
Soma hapo juu mkuu.Achana na mambo ya delay spray. Haitakufikisha popote. Inaweza kuwa ni short term solution lakini unajua madhara yake? .....Cha maana nakushauri kamwone daktari akupe ushauri wa kitibabu. Halafu nashangaa umeiweka hii thread kwenye Love Connect. Ungepeleka JF Doctor ungepata ushauri wa kitaalamu zaidi kwa watu kama Riwa. Waombe Mods waihamishie kule.
Soma hapo juu mkuu.
Hahaha! hapana mkuu unaweza kuuliza swali,hii signature niliweka baada ya waziri mmoja kukata kujibu swali bungeni akidai eti ni swali jipya lol! Hii delay spray ni ufumbuzi wa muda mfupi na inakatazwa kutumiwa kwa muda murefu, itamsaidia mhusika hapa juu aweze kujua utafauti wa dakika moja na dakika 15-20 na inaweza kumpa confidence asihitaji tena tiba ingine,mimi mwenyewe nilitumia hapo zamani ni sikuhitaji tena baada ya wiki mbili.Haya Mkuu. Sikuulizi swali jipya. lol