Tatizo la kuwahi kumwaga dawa yake ni nini?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
Wadau wa JF habari za J2,

Naandika post hii kwa masikitiko makali sana ambayo yameshanipatia mawazo mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Sasa ni wiki ya pili nimekumbwa na tatizo la kuwahi kumwaga pale nitakapokuwa kwenye tendo la ndoa, yaani haichukui hata dakika moja wazungu wanatoka.

Hii hali mara ya kwanza imeanza ilikuwa nilihisi pengine ni uchovu kwa sababu wiki hiyo ilikuwa imetumika sana, sasa mpaka sasa hivi takribani wiki mbili hii hali naona imeshakuwa tatizo maana kila nikipata fursa ya sex nikiweka tu lile joto linafanya namwaga sijui shida nini.

Kwa anayefahamu dawa ya hili tatizo naomba msaada niliwahi hili tatizo bado mapema.
 
kwann unawai kumwaga ww
 
Hakikisha unafanya tendo la ndoa mara kwa mara hilo unalodhani kuwa ni tatizo hutoliona tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…