Tatizo la kuwahi kumwaga dawa yake ni nini?

Tatizo la kuwahi kumwaga dawa yake ni nini?

wewe ni unakuwa na hisia kali ambazo zinakushinda kuzuia kwa huyu mtu unaefanya nae

solution
ukijiona unataka kumwwga chomoa then usiishike na mkon af unakuja kuendelea na show
 
Wadau wa JF habari za J2,

Naandika post hii kwa masikitiko makali sana ambayo yameshanipatia mawazo mpaka nahisi kuchanganyikiwa, Sasa ni wiki ya pili nimekumbwa na tatizo la kuwahi kumwaga pale nitakapokua kwenye tendo la ndoa, yaani nikiweka mb*** kwenye K** haichukui hata dakika moja wazungu wanatoka. Hii hali mara ya kwanza imeanza ilikua nilihisi pengine ni uchovu kwa sababu wiki hio ilikua imetumika sana, sasa mpaka saivi takribani wiki mbili hii hali naona ishakua tatizo maana kila nikipata fursa ya Sex nikiweka tu lile joto la K** linafanya namwaga sijui shida nini.

Kwa anaye fahamu dawa ya hili tatizo naomba msaada niliwahi hili tatizo bado mapema.
Kwani huwezi kurudia dose au Ndiyo ukipiga kimoki Chali
 
Back
Top Bottom