boy lanugo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 290
- 272
Wa salaam...
Nimekuwa mhanga wa hili tatizo kwa mda wa miezi minne Sasa.
Miguu inawasha mda wote na nikiikuna kwa nguvu Kuna vitu vyeupe flani hivi hutoka... Hakuna dalili zingine na hizo. Naomba ushauri wenu waheshimiwa