Tatizo la kuwasha viganja vya mikono na nyayo za miguu.

boy lanugo

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
290
Reaction score
272
Wa salaam...
Nimekuwa mhanga wa hili tatizo kwa mda wa miezi minne Sasa.
Miguu inawasha mda wote na nikiikuna kwa nguvu Kuna vitu vyeupe flani hivi hutoka... Hakuna dalili zingine na hizo. Naomba ushauri wenu waheshimiwa
 
Pole sana mkuu, acha yule mtaalam wa magonjwa hayo aje. Hope utapata majibu relax!
 
Tafuta asali ya nyuki wadogo wasiouma,chukua tangawizi,tunguu swaumu,limao na mdalasini visage vyote vichanganye kwenye lita moja ya asali ukoroge for long then uchuje.Hiyo juice itumie kupaka on patient area for seven days while using two teaspoonfull of that juice early in the morning before taking any food or drinks.That dose must be taken corncurrently within 7 days.Repeat it after 14 days.
By doing this your problem will totally furnished including other desease like malaria,importent,figo problem and allergies.
 
Asante Mkuu kwa ushauri. Lakini pia ningependa kujua ni tatizo gani hili kitaalamu
 
Back
Top Bottom