Huyo mgonjwa ana umri gani?
Vyanzo vyaweza kuwa vingi,kama kuumia sehemu ya nyonga,stroke,kuumia sehemu za uti wa mgongo n.k
Mrudishe mgonjwa hospitali akafanyiwe vipimo zaidi
Zingatia hapa mkuu, pia tezi dume sometimes huwa inasumbua sana uonekanaji wake, check specialist for further treatment.Huyo mgonjwa ana umri gani?
Vyanzo vyaweza kuwa vingi,kama kuumia sehemu ya nyonga,stroke,kuumia sehemu za uti wa mgongo n.k
Mrudishe mgonjwa hospitali akafanyiwe vipimo zaidi
Siyo pendwa muulize yote miwili kwa kupokezana?Unatumia mtandao pendwa?? 071...