Tatizo la kuziba mkojo kwa wanaume

Tatizo la kuziba mkojo kwa wanaume

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
558
Reaction score
179
Tatizo la kuziba mkojo linatoka na nini?? Vipimo vya mgonjwa vya tezi dume vinaonyesha lipo normal. Naomba msaada wa chanzo na matibabu yake!!
 
Pole sana.
Mimi sio dokta.ila nilishawahi kumuona MTU mwenye matatizo hayo.ni mtu mzima.lakini alikuwa analia kama mtoto.nilimuona kwenye gari usiku saa sits anakwenda mwananyamala ndo wanaweza kumsaidia kuutoa yeye mwenyewe hawezi.utamuonea huruma.
 
Huyo mgonjwa ana umri gani?
Vyanzo vyaweza kuwa vingi,kama kuumia sehemu ya nyonga,stroke,kuumia sehemu za uti wa mgongo n.k
Mrudishe mgonjwa hospitali akafanyiwe vipimo zaidi
Zingatia hapa mkuu, pia tezi dume sometimes huwa inasumbua sana uonekanaji wake, check specialist for further treatment.
 
Inaweza kuwa tezi dume na inaweza isiwe,mimi katika umri mdogo sana wa miaka chini ya 10 niliwahi pata hii shida,niliamka asubuhi na mkojo ulikuwa umejaa kwenye kibofu ila hautoki,nilichomwa sindano moja na mkojo ulitoka ndani ya dakika zisizozidi 5,sasa sikumbuki ilikuwa nina tatizo gani ila haijawahi kujirudia tena..
 
Back
Top Bottom