Tatizo la kuzidi kwa kiwango cha damu mwilini

Tatizo la kuzidi kwa kiwango cha damu mwilini

Joined
Jan 30, 2015
Posts
6
Reaction score
2
habari waungwana;

Napenda kujulishwa kwamba kuna madhara gani ya kutoa damu mwililini pindi inapokua imezidi kiwango cha kawaida? Na kama kuna njia mbadala ya kutatua tatizo hili naomben kujulishwa tafadhali.

Ahsanten.
 
Mi navyojua miili yetu huwa inajiendesha yenyewe na inajicontrol, hivyo suala la damu kuwa nyingi halipo, yaani iko controlled naturally na kutoa damu kuna faida zaidi, wataalamu wataelezea zaidi.
 
habari waungwana;

Napenda kujulishwa kwamba kuna madhara gani ya kutoa damu mwililini pindi inapokua imezidi kiwango cha kawaida? N a kama kuna njia mbadala ya kutatua tatizo hili naomben kujulishwa tafadhali.
Ahsanten.

Umejuaje mkuu..? umeshafanya vpimo au ndo zle prove za asili..?
 
Hakuna kitu kinachoitwa damu nyingi mwilini, kiasi ulicho nacho ndicho kinachoendesha mwili wako inavyotakiwa ila kuna upungufu wa damu unaitwa Anaemia hapo inabidi uongeze damu.
 
Hivi ikitokea mgonjwa mwenye upungufu wa damu akaongezewa mpaka ikazidi kiwango cha kawaida inakuwaje/what'll happen?
 
Hivi ikitokea mgonjwa mwenye upungufu wa damu akaongezewa mpaka ikazidi kiwango cha kawaida inakuwaje/what'll happen?

Anapona ghafla....
Kama unavyopona fasta ukimeza dawa za malaria mara moja badala ya siku tatu..
 
Kuzidi damu ipo. Mimi mwenyewe nimeshsuriwa baada ya kupima niwe natoa kila baada Ya miezi 4.
 
damu kuzidi ni ugonjwa na kitaalamu unaitwa polycythaemia yaani kuongezeka kwa celi nyekundu za damu mwilini

watu wenye ugonjwa huu wana damu nzito ivo kupelekea damu kuzunguka mwilini kwa shida

polycythaemia ina weza sababishwa na cancer ya ini au figo au uvimbe wowote katika cell zinazo zalisha chembe nyekundu za damu

dalili kuu za polycythaemia (kuzidi damu mwilini)

-kizunguzungu
-kichwa kuuma
- maumimu ya misuli
-maumivu ya kifua
-kuwashwa mwili
- shinikizo la juu la damu
etc

kma unahisi unaweza kua na ugonjwa huo tembelea hispitali

vipimo ambayo unaweza pimwa
- full blood picture and differential
-liver function
- kidney function
- ESR and etc
 
Nimefanya vpmo zaid ya mara2 na kuelezwa kua niana damu nying mwilin hii ni baada ya kuhis maumiv ya kichwa kila wakati na wakati mwingine damu kutoka puan bila hata kuguswa na mtu yyt.
 
Hili swali halikupata majibu.Madkatari mlio JF msaada wa tatizo hilo hapo juu,mwanangu anasumbuliwa na hali kama hiyo
 
Nimefanya vpmo zaid ya mara2 na kuelezwa kua niana damu nying mwilin hii ni baada ya kuhis maumiv ya kichwa kila wakati na wakati mwingine damu kutoka puan bila hata kuguswa na mtu yyt.
Mkuu ulipata matibabu kwa tatizo lako?
 
Hili swali halikupata majibu.Madkatari mlio JF msaada wa tatizo hilo hapo juu,mwanangu anasumbuliwa na hali kama hiyo
Damu kuwa nyingi siyo significant. Ila damu kuwa kidogo ndio significant (Anemia).
 
Hivi ikitokea mgonjwa mwenye upungufu wa damu akaongezewa mpaka ikazidi kiwango cha kawaida inakuwaje/what'll happen?
Haipo hyo mkuu, kuna vipimo maakumu unapo/anapo ongezewa mtu/watu damu, kwa hyo siyo rahisi sana kutokea hyo kitu mkuu.
 
damu kuzidi ni ugonjwa na kitaalamu unaitwa polycythaemia yaani kuongezeka kwa celi nyekundu za damu mwilini

watu wenye ugonjwa huu wana damu nzito ivo kupelekea damu kuzunguka mwilini kwa shida

polycythaemia ina weza sababishwa na cancer ya ini au figo au uvimbe wowote katika cell zinazo zalisha chembe nyekundu za damu

dalili kuu za polycythaemia (kuzidi damu mwilini)

-kizunguzungu
-kichwa kuuma
- maumimu ya misuli
-maumivu ya kifua
-kuwashwa mwili
- shinikizo la juu la damu
etc

kma unahisi unaweza kua na ugonjwa huo tembelea hispitali

vipimo ambayo unaweza pimwa
- full blood picture and differential
-liver function
- kidney function
- ESR and etc
full blood picture sio bei sana
 
Nimefanya vpmo zaid ya mara2 na kuelezwa kua niana damu nying mwilin hii ni baada ya kuhis maumiv ya kichwa kila wakati na wakati mwingine damu kutoka puan bila hata kuguswa na mtu yyt.
kutoka bamu puani hyo inaitwa anaemia of unknown causes, means hii huwatokea wale wenye upungufu wa damu siyo wenye damu nyingi mwilini.
 
Back
Top Bottom