mkali wa sound
Member
- Jan 30, 2015
- 6
- 2
habari waungwana;
Napenda kujulishwa kwamba kuna madhara gani ya kutoa damu mwililini pindi inapokua imezidi kiwango cha kawaida? N a kama kuna njia mbadala ya kutatua tatizo hili naomben kujulishwa tafadhali.
Ahsanten.
Hivi ikitokea mgonjwa mwenye upungufu wa damu akaongezewa mpaka ikazidi kiwango cha kawaida inakuwaje/what'll happen?
Mkuu ulipata matibabu kwa tatizo lako?Nimefanya vpmo zaid ya mara2 na kuelezwa kua niana damu nying mwilin hii ni baada ya kuhis maumiv ya kichwa kila wakati na wakati mwingine damu kutoka puan bila hata kuguswa na mtu yyt.
Damu kuwa nyingi siyo significant. Ila damu kuwa kidogo ndio significant (Anemia).Hili swali halikupata majibu.Madkatari mlio JF msaada wa tatizo hilo hapo juu,mwanangu anasumbuliwa na hali kama hiyo
Haipo hyo mkuu, kuna vipimo maakumu unapo/anapo ongezewa mtu/watu damu, kwa hyo siyo rahisi sana kutokea hyo kitu mkuu.Hivi ikitokea mgonjwa mwenye upungufu wa damu akaongezewa mpaka ikazidi kiwango cha kawaida inakuwaje/what'll happen?
full blood picture sio bei sanadamu kuzidi ni ugonjwa na kitaalamu unaitwa polycythaemia yaani kuongezeka kwa celi nyekundu za damu mwilini
watu wenye ugonjwa huu wana damu nzito ivo kupelekea damu kuzunguka mwilini kwa shida
polycythaemia ina weza sababishwa na cancer ya ini au figo au uvimbe wowote katika cell zinazo zalisha chembe nyekundu za damu
dalili kuu za polycythaemia (kuzidi damu mwilini)
-kizunguzungu
-kichwa kuuma
- maumimu ya misuli
-maumivu ya kifua
-kuwashwa mwili
- shinikizo la juu la damu
etc
kma unahisi unaweza kua na ugonjwa huo tembelea hispitali
vipimo ambayo unaweza pimwa
- full blood picture and differential
-liver function
- kidney function
- ESR and etc
ukienda blood bank sometimes its free of chargefull blood picture sio bei sana
kutoka bamu puani hyo inaitwa anaemia of unknown causes, means hii huwatokea wale wenye upungufu wa damu siyo wenye damu nyingi mwilini.Nimefanya vpmo zaid ya mara2 na kuelezwa kua niana damu nying mwilin hii ni baada ya kuhis maumiv ya kichwa kila wakati na wakati mwingine damu kutoka puan bila hata kuguswa na mtu yyt.
napita tuMi navyojua miili yetu huwa inajiendesha yenyewe na inajicontrol, hivyo suala la damu kuwa nyingi halipo, yaani iko controlled naturally na kutoa damu kuna faida zaidi, wataalamu wataelezea zaidi.