Tatizo la ladha ya chumvi mdomoni

Tatizo la ladha ya chumvi mdomoni

Catel

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2022
Posts
958
Reaction score
1,649
Nawasalimu kwa ujumla wenu.

Kama heading inavyojieleza, nlikuwa naomba kwa wale wanaojua chanzo cha tatizo na tiba yake. Nina wiki moja hapa mdomoni kuna ladha ya chumvi, nilijaribu kwenda hosptali ila sioni msaada kwa tiba nliyotumia.
 
Punguza kula vyakula vyenye sodium kama ajinamoto na inatumika sana kwenye vyakula vya hotel na migahawa kuongeza Radha ya chakula, soya sauce, na calcium kama imezidi mwilini inaleta Hali hiyo , kama umetumia dawa bado tatizo linasumbua tumia magnesium kwa wiki moja na glucose ramba au kwenye maji kwa wiki moja huku ukiacha matumizi ya sodium kwa wingi.
 
Pole sana, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Nawasalimu kwa ujumla wenu...kama heading inavyojieleza... nlikuwa naomba kwa wale wanaojua chanzo cha tatizo na tiba yake....nina wik moja hapa mdomoni kuna ladha ya chumvi..nlijaribu kwenda hosptal ila sioni msaada kwa tiba nliyotumia
Hizi ni Dalili za ugonjwa wa kisukari
 
Nawasalimu kwa ujumla wenu...kama heading inavyojieleza... nlikuwa naomba kwa wale wanaojua chanzo cha tatizo na tiba yake....nina wik moja hapa mdomoni kuna ladha ya chumvi..nlijaribu kwenda hosptal ila sioni msaada kwa tiba nliyotumia
Pima sukari au kiwango cha acid mwilini
 
Ila

Badili mtindo wa maisha na chakula siwezi kukudanganya hiyo ni kisukari
Nazingatia diet sanaa mkuu..hasa matunda sina shaka kwa hilo...nlpima uric acid wakanambia ipo juu..na kwl hata miguu na kweny viungo kuna muda vinauma..tangia nitumie dawa hyo hali imeisha..sidhan kama ni kisukar maana ukizngatia kote nipo oky kwan mi ni mtu wa mazoez sanaa
 
Malimao na tangawizi na garlic yes vinapambana na covid lakini ukizidisha vinakutenda
Duuhh...mi nakula sanaa tangawizi mbichi..huwa zinapandisha acid mkuu?
 
Back
Top Bottom