Tatizo la laini kuacha kusoma nikiwa naperuzi intaneti au nafanya matumizi mengine ya simu

Tatizo la laini kuacha kusoma nikiwa naperuzi intaneti au nafanya matumizi mengine ya simu

om acidic

Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
18
Reaction score
15
Habari wana JF,
Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo.
Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda uende au nii restart ata mara 2 au 3 sasa sijui tatzo hili nalitatua vp ili laini zikae stable
 
1. jaribu kureset settings za network, hii iliwahi kunitokea baada ya ku update android 13 kwenda 14.

kwa hio simu yako ingia settings >> General management >>Reset >> reset network


View: https://youtu.be/xpQ6TqlOO6c?si=8InXKAaFgP_4dzUD


2. jaribu kuweka kikaratasi hapo kisha uweke laini juu yake

1729891551438.png
 
Back
Top Bottom