Tatizo la Laptop kujizima yenyewe

Tatizo la Laptop kujizima yenyewe

dirtyboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2017
Posts
380
Reaction score
669
Habari za wakati huu wakuu

Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima nyenyewe, ila nikikaa baada ya mda nikiiwasha inawaka.

Mwanzo nilijua tatizo ni betry nikanunua jingine ila mtindo ukawa ule ule. Tafadhali wanajukwaa naomba msaada wenu juu ya tatizo hili na lipi napaswa kufanya
 
fungua Pc iyo then safisha Motherboard, heatsink na feni.. inatakiwa uwe makin kiasi chake..
 
Haionyeshi chochote, kioo hakiwak kabisa mkuu
ni tatizo la hardware fuata ushauri wa wadau hasa huo wa kuangalia cooling kama ipo sawa, hakikisha thermal paste ipo, feni linafanya kazi, heatsink ipo connected na cpu vizuri etc.
 
kama tatizo halijaisha.

zima toa betri toa chaji then bonyeza kitufe vha start-button kwa dk moja.
chomeka chaji bila ya betri alafu iwashe.

yangu ilikuwa ukiiwasha inazima yenyewe hapohapo, nikareset bios manually na kusafisha heatsink na kufuta vumbi motherboard alafu nikatumia hiyo njia hapo juu then ikawaka.

angalizo ni usifungue Laptop yako kama huna ujuzi angalau kidogo.
 
Habari za wakati huu wakuu

Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima nyenyewe, ila nikikaa baada ya mda nikiiwasha inawaka.

Mwanzo nilijua tatizo ni betry nikanunua jingine ila mtindo ukawa ule ule. Tafadhali wanajukwaa naomba msaada wenu juu ya tatizo hili na lipi napaswa kufanya
Jaribu kusafisha RAM pamoja na slots zake
 
kama tatizo halijaisha.

zima toa betri toa chaji then bonyeza kitufe vha start-button kwa dk moja.
chomeka chaji bila ya betri alafu iwashe.

yangu ilikuwa ukiiwasha inazima yenyewe hapohapo, nikareset bios manually na kusafisha heatsink na kufuta vumbi motherboard alafu nikatumia hiyo njia hapo juu then ikawaka.

angalizo ni usifungue Laptop yako kama huna ujuzi angalau kidogo.
Nakazia hii..
 
Habari za wakati huu wakuu

Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima nyenyewe, ila nikikaa baada ya mda nikiiwasha inawaka.

Mwanzo nilijua tatizo ni betry nikanunua jingine ila mtindo ukawa ule ule. Tafadhali wanajukwaa naomba msaada wenu juu ya tatizo hili na lipi napaswa kufanya
karibu E-sky Technology tukuhudumie tunashuhulika kutatua matatzo yote ya computer yako
0625787147.
 
Back
Top Bottom