ni tatizo la hardware fuata ushauri wa wadau hasa huo wa kuangalia cooling kama ipo sawa, hakikisha thermal paste ipo, feni linafanya kazi, heatsink ipo connected na cpu vizuri etc.Haionyeshi chochote, kioo hakiwak kabisa mkuu
Jaribu kusafisha RAM pamoja na slots zakeHabari za wakati huu wakuu
Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima nyenyewe, ila nikikaa baada ya mda nikiiwasha inawaka.
Mwanzo nilijua tatizo ni betry nikanunua jingine ila mtindo ukawa ule ule. Tafadhali wanajukwaa naomba msaada wenu juu ya tatizo hili na lipi napaswa kufanya
Nakazia hii..kama tatizo halijaisha.
zima toa betri toa chaji then bonyeza kitufe vha start-button kwa dk moja.
chomeka chaji bila ya betri alafu iwashe.
yangu ilikuwa ukiiwasha inazima yenyewe hapohapo, nikareset bios manually na kusafisha heatsink na kufuta vumbi motherboard alafu nikatumia hiyo njia hapo juu then ikawaka.
angalizo ni usifungue Laptop yako kama huna ujuzi angalau kidogo.
karibu E-sky Technology tukuhudumie tunashuhulika kutatua matatzo yote ya computer yakoHabari za wakati huu wakuu