Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ndiyo.. Ndulu hana tofauti na Ballali.. japo watawala wanataka tuamini kuwa wana tofauti!. Wenyewe wanasema "mbona tumebadili lebo.. ilikuwa inasema sumu sasa tumeweka inasema maziwa".. tunawauliza "mbona hamkubadili kilichomo ndani?" wao wanasema ati tunataka kuleta mgawanyiko!!