Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Hahahaaa pamoja sana mkuu Mwifwa ukichanganya yale maji ya bwawani na uchafu aisee P. Erosion ilikua Kama SI unit ya pond boy yeyote. Unajikuna wee mi nilikua hadi naokota vigunz kule kwa kinyogoli naenjoy. Ila ndo zinakua kama maini na maumiv makali baada ya hapo dah
 
Ni Ugonjwa Wa Siri Unaosumbua Usiopewa Kipaumbele Kudhibitiwa. Hautangazwi Sana
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Niwe sehemu ya ushuhuda


Back then uboyzin Advanced level!!


Basi kukawa na hiyo ma_kitu,hadi ndoo za kuogea zilikuwa na utando mweupe, likely to be fungus ambapo tuliamini ni source ya pumbu erosion.

Asalaeee... Mara pap ninazo! Mwanzoni nilikuwa nahisi raha kupiga gitaa basi nikawa nalicharaza ile ile. Aaaargh, hali ikawa si hali nikaona niachane na uvaaji wa nguo za ndani maana hata boxer nilizokuwa nazo zilikuwa ni za polyester.

Ila niliporudi home likizo zikapotea basi nikanunua bonge la pensi, linavaliwa nje ndani. Nakarudi nalo skonga!!

Ikawa after skuli hawaz natupia mpensi wangu, kama nitavaa upande wablue basi kesho yake kijivu wana wanahisi ninayo mawili kumbe moja tu!![emoji16]... Suruali ya shule navaa bila kitu ndani, kengele zinagongana tu hadi nikazoea......!!

Nashukuru ilikuwa kama tiba cuz sikukumbwa na kadhia hiyo tena!!
 
Mpaka asaivi unavaaga chupi?
 
Huu ugonjwa unaitwa Tinea cruris au waweza ita jocky balls,unashambulia folds za testes na ni ngumu sana kupona ila nishawah ona wengi wakipona

Kuna dawa flan ipo ya kienyeji ivi unapaka inabandua ngozi yote ya juu iliyoashirika inabak ngozi safi,mm binafsi ni Dr wa binadamu nilishangaa hii dawa ilivo effective, sihitaji pesa yako nakushauri tyu nitafute pm dawa yake bei rahisi kuna mshikaji Dr rafk yang anauza
 
Mkuu Hero umenikumbusha mbali sana, miaka ile ya Azania Boys wakiwa boys kweli kweli, enzi za Mzee Meja. Bafu za pale school zilikuwa chafu na zimejaa vimimea mithili ya algae. Usipokuwa makini, lazima uondoke na fangasi.
Mwenzetu mmoja aliathirika na hizi fangasi, full time mkono umezama kwenye balls zake - tulimbatiza Mr. Fungus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…