Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Hapa wanahitajika wataalam watoe majibu ya kitaalamu.
Ila sisi mazumbukuku tutakwambia chanzo ni mapenzi kinyume na maumbile.
 
Mkuu Mzizimkavu asante kwa msaada unaoutoa hapa jamvini, mimi nina tatizo la kuwashwa mwili/ kuchomachoma hasa pale joto la mwili linapoanza kuongezeka mf. Nikiwa naota moto/jua/nikifanya mazoezi, hali hii ya mwili kuwasha hudumu kwa kipindi kisichozidi nusu SAA then baada ya hapo hali ya kawaida hurejea...

Baada ya muwasho hutokea VIDOTI vidogo hasa kwenye mikono na baadae hupotea...

Hali ya ngozi yangu ni kama ina MBA, msaada wako tafadhali sana ni ugonjwa gani huu unaonisibu coz umedumu kwa muda sasa
huu ni ugonjwa unaitwa chawa hasa hutokana na kulogwa sio tatizo linalotibika hospitali. kuwa makini na jamii inayokuzunguka. njoo dm kupata dawa
 
Aisee tuendelee kuchukua tahadhari usikubali kufanya mapenzi gizani make sure kama mwanaume unaona unapoingia na kama mwanamke unaona kinachoingia.

Aisee nimekutana na mtu amebabuka kwenye mapaja ni kama vidonda aisee hizi tamaa za mwili zinanipeleka kubaya.
 
Asante kwa ushauri. Ameonana na wataalam hao ndo waliomwandikia dawa hizo mbalimbali zikiwemo za kumeza, kupaka na kupachika. Anapona kwa muda halaf tatzo linajirudia,
Huyu anatakiwa afanye culture
 
Aisee tuendelee kuchukua tahadhari usikubali kufanya mapenzi gizani make sure kama mwanaume unaona unapoingia na kama mwanamke unaona kinachoingia.

Aisee nimekutana na mtu amebabuka kwenye mapaja ni kama vidonda aisee hizi tamaa za mwili zinanipeleka kubaya.
🙄🤔Duh
 
Wakuu Kuna mwanaume anatatizo la vidonda vidogovidogo katika sehem zake na uvimbe je tatizo nn na ataponaje?

Katika nature ,tatizo la vidonda au fungus , hutokana na sumu moja tunaita Hot toxin or hot dampness toxin to arrest skin and block blood circulation

Tunahitaji ku clear hot toxin or dampness toxin , pia tunahitaji kuhakikisha mzunguko wa damu unakaa sawa kwa kuvunja Blockage/ uvimbe ili kwezesha damu kufikia eneo lenye shida hivyo kupeleka Nutrients na kuponya vidonda !
Lakini tupigie tutamfanyia diagnosis kwa njia ya questionnaire ili tujue exactly shida nini ,na ikoje ,ili kutoa dawa sahihi zaidi na kuondoa tatizo !

Atakuwa sawa !
Simu : +255757577995
a1e8db8d-bb88-4a80-998f-785c78412ba9.jpg
 
View attachment 2940164

Inajua , kila kitu mwilini kipo na mfumo wake , na shida ya kiafya inapotokea mahali kwenye , katika elimu asili ( XIANHE or HESHOUTANG Natural Health system) tunaangalia hilo tatizo ni nini na lipo eneo gani na hilo eneo la mwili lipo chini ya mfumo gani na shida gani ipo kwenye mfumo huo kusababisha hilo tatizo kutokea , je nishati za mfumo huo ziko sawa ? Kama la basi je ni nishati gani imezidi kusababisha sumu ( Bakteria au virus ) zinatoa protein fulani ambayo huenda athiri nishati za mwili wako kusababisha Energy imbalance hivyo kuleta shida / ugonjwa ,

Mwili una kitu kinaitwa Self recovery system , ambapo Askari wa mwili huondoka kupambana na adui ( Virus or Bacteria ) kutoa nje ya mwili , hapo ndio hutokea vita au friction or inflammation
Mtu atasikia anaumwa ,Homa , mafua ,Maumivu ya mwili n.k

Mwili utaonesha dalili kutuma taarifa kuhusu sumu au aina ya tatizo lililopo na mfumo husika

Kila Virus au Bacteria ana eneo lake au hali fulani anayopendelea kuishi na kumuwezesha kufanya uharibifu

Sisi Kama Tabibu ni muhimu kusikiliza mwili unasemaje ( dalili / symptoms) ili kujua sumu/toxin inayosumbua , hivyo ku clear toxin Kisha kurejesha Uwiano sahihi wa nishati kwenye mfumo hisika na kusababisha uponyaji kutokea na mwili kurejesha kila kitu kwenye hali ya kawaida

Mfano kuharibika rangi yake , Fungus , Vidonda visivyopona , Kansa ya ngozi n.k
Vyote hivyo ni sumu / Toxin .

Usiteseke na ugonjwa wowote ule , hata Kama hospitali wamesema hautibiki au ni wa Kurithi
Katika nature hakuna ugonjwa usiotibika

Cont: +255857577995 www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
a1e8db8d-bb88-4a80-998f-785c78412ba9.jpg
 
Cha msingi nenda hospitali uonane na dokta. Pia hakikisha unavaa nguo safi na kavu ukibadilisha chupi kila siku pia uhakikishe kabla ya kuvaa nguo umekausha sehemu hizo nyeti. Zingatia kupasafisha vizuri, ondoa mapovu ya sabuni na kausha vizuri pia.
Wajina hebu niambie uke anaukaushaje?
 
Wakuu Kuna mwanaume anatatizo la vidonda vidogovidogo katika sehem zake na uvimbe je tatizo nn na ataponaje?

Katika elimu asili , tutahitaji kuwezesha zunguko wa damu uko vizuri kwenye ngozi , yaani Kuvunja Blockage or blood stuck ambazo ndio uvimbe na mikwamo

Pia kuondoa aina ya sumu iliyopo , Inaweza kuwa ni Hot toxin au Hot dampness toxin , hii anaweza kuwa anajikuna !

Atapona
Wasiliana nasi ili kupata dawa
+255757577995
IMG_2276.jpg
 
Vipi kuhusu hali kama hii?

Hiyo ni Circulation problems into skin ;

Tunaposema Circulation, tunamaanisha mishipa ya damu

Kuna aina 2 za mishipa
1. Mishipa ya kawaida mikubwa inayosafirisha damu , hii sio rahisi kuziba

2. Mishipa midogo sana ( Microcirculation) ; hii mishipa ndio hupokea virutubisho na hewa safi kutoka kwenye mishipa mikubwa na kupeleka sehemu mbalimbali za Mifumo ya mwili
Hii mishipa midogo ni rahisi sana kuziba na kusababisha matatizo makubwa mwilini kama kukosa virutubisho pamoja na Oxygen, hivyo kufanya Seli za mwili kufa , Kama hiyo sehemu inavyoonekana !

Katika Nature , tutahitaji kufanyia kazi eneo la Energy flow + Blood flow

Energy flow ikiwa Stasis / Stuck level , itaathiri blood flow , na kwa maana hiyo mishipa pia itakuwa imekwama , kushindwa kusafirisha virutubisho na hewa safi /Oxygen mwilini , hivyo kuathiri Seli mbalimbali za mwili .

Treatment plan ( Nature / Xianhe )

1. Smooth Liver & Gallbladder system energy
2. Improve circulation

Kama ngozi inawasha / Itching Skin ; then hiyo ni Hot toxin in blood , tutahitaji :

1. Clear hot toxin in blood
2. Improve blood circulation in the body ( Skin )
3 . Replenish water property energy into Lungs & Large Intestine system in order to heal the skin .

After treatment ends up , mwili utarudisha hali ya ngozi vizuri sana , hakuna shida itatokea tena !

Dawa zetu asili zipo kutoka Marekani !

Cont: 0653048888 , 0757577995
 
Back
Top Bottom