STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Hio haihusiani na magonjwa ya zinaa hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Aisee umeona mbupu tu genye zimepanda je ukiona mkuyenge kabisa si chupi inaloa
Habarini ndugu zangu , Kuna siku niliomba ushauri kuhusu kuwaswa seheme za korodani na Kuna vinyama vilikuwa vinaota , Asanten kwa ushauri na nilpo enda kwa Daktari nilipewa hizo dawa mbili za kupaka ambapo ELYVATE unapaka asubuhi na jioni seheme zenye kuwasha , na hiyo SEABOMA lotion unapaka usiku tu mwili mzima kasoro usoni ndani ya siku tatu tu na tatizo linakuwa limeondoka , na vile vinyama vinakauka so MTU mwenye changamoto Kama yangu Basi ataweza kuzitafuta na zitamzaidiaHabarini wanabdugu , naombeni msaada wa tatizo nilililonalo la kuwashwa SEHEMU ya KORODANI na uume kuwasha kwa ndani na nje , ninetumia cream za kupaka na dawa lakini bado nasumbuliwa shida ni hivyo vijinundu vinavyoota na kuwasha Sana , naombeni msaada
View attachment 1904552
Muone dermatologist atakusaidia.HABARI, samahani ndugu zangu nina shida ta kuwa na mba sugu kwenye ngozi yangu maeneo ya mikono na mabegani na mgongo huwa zinakuja na baadae kupotea then kurudi tena naombeni msaada wenu nifanyeje ili kuweza kuzitibu kabisa niwe na mimi na babysoft skin.
nimewahi kutumia itraconazole capsules, pamoja na tube nyingi sana za kupaka. sasa natafuta dawa ya mbadala na hizo, nisaidieni nateseka ni hii kitu,
Nimeonana nao , muhimbil(makuti) , na ilala health center... they all recomended itraconazole. Na nmezitumia sana but hii hupunguza kwa muda tu nataka kupata msaada wa dawa permenent nipone kabisa.Muone dermatologist atakusaidia.
Dr. Kizumango mtabibu wa asilia wa njia mbadala wa magonjwa sugu ya binadamu. Napatikana Action herbs clinic iliyoko manzese mkunguni. DarHABARI, samahani ndugu zangu nina shida ta kuwa na mba sugu kwenye ngozi yangu maeneo ya mikono na mabegani na mgongo huwa zinakuja na baadae kupotea then kurudi tena naombeni msaada wenu nifanyeje ili kuweza kuzitibu kabisa niwe na mimi na babysoft skin.
nimewahi kutumia itraconazole capsules, pamoja na tube nyingi sana za kupaka. sasa natafuta dawa ya mbadala na hizo, nisaidieni nateseka ni hii kitu,
Dr. Kizumango mtabibu wa asilia wa njia mbadala wa magonjwa sugu ya binadamu. Napatikana Action herbs clinic iliyoko manzese mkunguni. DarHabarini wanabdugu , naombeni msaada wa tatizo nilililonalo la kuwashwa SEHEMU ya KORODANI na uume kuwasha kwa ndani na nje , ninetumia cream za kupaka na dawa lakini bado nasumbuliwa shida ni hivyo vijinundu vinavyoota na kuwasha Sana , naombeni msaada
View attachment 1904552
Inaweza kutibu warts?Habarini ndugu zangu , Kuna siku niliomba ushauri kuhusu kuwaswa seheme za korodani na Kuna vinyama vilikuwa vinaota , Asanten kwa ushauri na nilpo enda kwa Daktari nilipewa hizo dawa mbili za kupaka ambapo ELYVATE unapaka asubuhi na jioni seheme zenye kuwasha , na hiyo SEABOMA lotion unapaka usiku tu mwili mzima kasoro usoni ndani ya siku tatu tu na tatizo linakuwa limeondoka , na vile vinyama vinakauka so MTU mwenye changamoto Kama yangu Basi ataweza kuzitafuta na zitamzaidiaView attachment 1920488
Naweza kukusaidia na kumaliza tatizo lako.Wakuuu habari zenu baada ta salamu, nije kwenye mada nasumbulia na genitals warts naomba msaada Nitumie dawa gani?? Naomba kuwasilisha wakuu
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Dr. Kizumango mtabibu wa asilia wa njia mbadala wa magonjwa sugu ya binadamu. Napatikana Action herbs clinic iliyoko manzese mkunguni. DarWakuuu habari zenu baada ta salamu, nije kwenye mada nasumbulia na genitals warts naomba msaada Nitumie dawa gani?? Naomba kuwasilisha wakuu
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Dr. Kizumango mtabibu wa asilia wa njia mbadala wa magonjwa sugu ya binadamu. Napatikana Action herbs clinic iliyoko manzese mkunguni. DarNina shida ya vipele vikavu vinawasha matakoni, mapajani na kwenye korodani. Naombeni msaada please. Sahv nikama wiki
Kuanzia miezi mitatu na kuendelea.Nisaidieni Madaktari wabobezi wa humu JF
Ni muda gani huchukua tangu muathirika wa HIV alipoathirika na kuambukiza wengine(endapo atajamiiana na mtu asiye muathirika)
Kuna jamaa yangu ana fungus sugu za miguuni, unaelewa dawa ya kumaliza tatizo lake?Za miguuni?
Za ngozini?
Za kwenye sehemu za siri?
Za kichwani?
Za mdomoni?
Jr[emoji769]