Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

electrolytes kwa lugha yetu tafadhali..
Ni kipimo kinachoonyesha kiwango cha vitu muhimu katika mwili kama damu, madini na uwiano wake katika chembe hai. Ukimwambia dr unataka kipima electrolytes katika mwili wako atakurefer labolatory.

Electrolytes are certain nutrients (or chemicals) present in your body that have many important functions — from regulating your heartbeat to allowing your muscles to contract so you can move. The major electrolytes found within the body include calcium, magnesium, potassium, sodium, phosphate and chloride.
 
BASI HORMONE ZAKO HAZIPO OK
 
Ni kipimo kinachoonyesha kiwango cha vitu muhimu katika mwili kama damu, madini na uwiano wake katika chembe hai. Ukimwambia dr unataka kipima electrolytes katika mwili wako atakurefer labolatory.
hospitali yoyote au?
 
Pole sana jaribu kuwatafuta madaktari wa wanawake ambao wamebobea na hawa utawapata katika hospital kubwa in Dar. Usitumie madawa hasa antibiotics bila ushauri wa daktari
 
Pole sana jaribu kuwatafuta madaktari wa wanawake ambao wamebobea na hawa utawapata katika hospital kubwa in Dar. Usitumie madawa hasa antibiotics bila ushauri wa daktari
ndio nawatafutà hasa wale ambao wana clinic zao
 
Utumie maziwa mtindi yatakusaidia sana ..ukute bakteria walinz wamepungua ndo mana unashambuliwa na fangasi...na isije kuwa maji ya kujisafishia unatia deltol
 
Kama unaboy friend nae apate matibabu, tumia mafuta ya zaituni kupakaa sehemu husika au mwili mzima itakuletea matokeo mazuri. Tafuta yale original yaliyoandikwa "Raphael Salgado"au RS.
 
Kama unaboy friend nae apate matibabu, tumia mafuta ya zaituni kupakaa sehemu husika au mwili mzima itakuletea matokeo mazuri. Tafuta yale original yaliyoandikwa "Raphael Salgado"au RS.
kwahyo kama fangasi yale maziwa maziwa yanayotoka kwa ndani..
nimiminie hayo mafuta na ndani pia?
 
Duh Mara kumi bidada pole sana.

Nilipataga mara tatu kwa mwaka it was the worst year ever, yani nilikuwa sina raha.

Unajifutaga na toilet paper?? Acha kabisa. Ikikubidi sana, jitahidi tissue isishike uke. Mchawi wangu alikuwa toilet paper.

Una sweat sana? Jitahidi kuvaa nguo nyepesi, uwe unabadilisha chupi katikati ya siku...beba hata mbili kwenye pochi, ukinawa jifute na uliyovaa, badilisha. Mpaka ujue kama shida ni joto au vipi.

Kunywa yoghurt kwa wingi na ingawa wengi hawaipi uzito lakini balanced diet jamani. Uwe mlafi wa matunda na mboga. Kwa siku piga machungwa matano, parachichi moja, tikiti maji nusu, embe zima, tango zima, mafungu mawili ya mchicha yani usilete utani.

Uko mkoa gani? Kama Dar, pls Muone Dr. Shafiq wa Agha khan. Kumuona Mara ya mwisho ilikuwa 44,000
 
[emoji26][emoji26][emoji26]inachosha sana
na hio mara kumi ni makadirio tu..
hata sielewi nna tatizo gani maana najitahidi kila unachosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…