Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

b4 that unatakiwa ujue fangasi inatokana na nini ndo uanze kupata tiba na kuzuia hivyo vitu
 
Dozi inatumikaje madam?
 



mkuu @ brivigy je ukiwa umepata malenge lenge sehemu za siri waweza tumia huo mchanganyiko wa septrine na vaseline????
 
Kwa fangasi za nje, unaweza tumia Majani ya nyanya, tikicha, yale Maji Maji dondoshea au paka eneo lililoathirika Siku mbili nyingi sana
 
Dozi inatumikaje madam?
Unga wa mdalasini kijiko cha chai kimoja,
Asali kijiko cha chakula kimoja,
Unachanganya vyote kwenye glass yenye maji ya uvuguvugu,
Unaacha kama dakika 5 kisha unakunywa.

Dozi ni asubuhi kabla hujala chochote na usiku kabla ya kulala.

Pia unaweza kuchanganya unga wa mdalasini na asali bila maji ukawa ukapakaa sehem yenye tatizo, kama fangasi wa vidole, mapunye, chunusi, n.k.
 
Jitahidi kufua boxer zako.Uchafu ni chanzo cha fangasi sugu
 
[emoji26][emoji26][emoji26]inachosha sana
na hio mara kumi ni makadirio tu..
hata sielewi nna tatizo gani maana najitahidi kila unachosema
Jitahidi umuone daktari wa wanawake.

Nafikiri ukikaa kuongea naye vizuri mtasaidiana kujua mzinzi wa tatizo.

Na lazima ukafanye kipimo cha "culture" wajue ni wadudu wadudu gani hao wasumbufu. Usijinunulie dawa tu...

Halafu kama una fungus Kwa Nini unatibiwa na antibiotics????

Muone daktri mzuri pls

princess ariana nilisahau kukwambia...ingia gharama ununue vyupi upyaa...ukimaliza dose unaanza na mpya
 
Wakuu Nahitaji Dawa kwa ajili ya Fungus nimeona niiombe msaada kwani imeshaanza kuenea maeneo mengine kama Usoni naona kutoka na Kujikuna au Taulo ambalo natumia Ugonjwa huu unaninyima raha hasa nikitoka Kuoga

Huwa najikausha vizuri na Taulo lakini wapi hali bado ngumu naombeni msaada wakuu Ugonjwa Siupendi huu umeniathiri sana sehemu za Siri.

Dawa ambayo niliambiwa nitumie inaitwa WHITEFIELD lakini hii nikipaka Korodani huwa zinataka kukatika ina maumivu makali sana hadi machozi yanatoka.

Msaada.
 
Hao fungus wanafanya ngozi inawasha? Ngozi imepauka ?
 
sikiliza mkuu, ebu nunua sabuni ya zoa zoa na rosheni yke utaakuwapoa fasta
 
Mkuu nakushauri nenda kapime kipimo cha damu ujue una maambukizo ya aina gani.... maana fangasi ni ugonjwa hatar usikute una maambukizi yalokomaa wewe unajua ni fangasi tu[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] wahi haraka hosp usifanye mchezo na afya
 
Tafuta dawa hii itakusaidia mimi imenisaidia sana
 

Attachments

  • IMG_1479659750.381768.jpg
    444.7 KB · Views: 459
Duuh! Sasa kujipaka white field tuunalia, je hii dawa niliyotaka kukupa? Anyway kam una ujasiri jipake dawa ya vidonda ya Iodine sehemu zilizoathirika... Ni very effective. Ila angalia isiingie machoni. Na kama unapaka kwenye korodani, paka juu juu kwa mbali mbali. Ukipaka nyingi unaweza ukatoka uchi nje ya nyumba huku unapiga yowe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…