Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Are you sure?
 
Nenda Agakhan Hospital kamwone specialist wa ngozi. ..professor mmoja jina nimelisahau ni mswahili ...huwa anakuwepo saa za mchana na jmosi asubuhi. ..atakusaidia nina hakika. ..pole sana ndugu yangu. .
 
*Fluconazole 150mg OD 30/7*
Copy hapo juu km ilivyo hii dawa nenda duka la dawa wakupe utapona kabsaa
 
Mkuu hiyo dawa ya Whitefield ina maumivu makali sana,inatisha sana
 
Aspirin ni dawa mzuri Kuna daktari mmoja humu jf ameniponya

Aspirin na mafuta mgando
Duu....sasa jamani utamuelekezaje mtu kama hivi?! Muelezee mtu kama unataka kumsaidia aelewe....Aspirin na mafuta mgando ayatumieje?! Ameze hzo Aspirin na kujpaka mafuta mgando ama?!
 
Natilia shaka hiyo fungus kuenea mpaka usoni mmhh hata. Watu wengi wanasumbuliwa hata zaidi ya miaka 10 bado itabakia uko uko sehemu za siri haiwez kufika usoni. Ebu nenda kwa DAKTARI kajielezi vizuri.
Madaktari wa humu ndani wa jf nawashangaa sana wanakimbilia kutoa namba za simu pasipo hata kuhoji inaonekana ni wapiga diri. Fungus mpaka magamba kutoka natilia shaka.
Kuwa makin na madaktari wetu utaibiwa
 
Inapauka na Kuwasha siku nyingine yanabanduka magamba kama ya samaki hivi disgusting Dada!
Ngozi kuwasha mara nyingine ni njia ya body's defence mechanism kukuambia kuwa kuna tatizo katika mwili wako, kafanye full medical check up kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…