Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Wadau wa Jf naomba msaada kujua kiundani zaid yann knapelekea mtu KUPATA vijiupele kwenye korodani na akijikna anapata kijdonda
Natmain humu kuna watu wenye kujua sana mambo haya[emoji122] [emoji122]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Fungus, zinazosababishwa na kutofua nguo za ndani, kuvaa nguoza ndani ambazo hazjakauka vzuri au ambazo hazianikwi kwenye jua wengine wana tabia ya kaunika nguo za ndan chin ya godoro.

Fearing of the Lord is the beginning of wisdom
 
Nimekuelewa mkuu
Na vp kwa wale wanakuwa na Mabaka mabaka mwilin mfano huchora duara kama shilling tatzo huwa n nn?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
huo ni upugufu wa kinga mwilini(UKIMWI)
jitahidi uanze kufanya jitihada nyingine za kufuatilia matibabu...
 
Oga na ujisugue vizuri
Jikaushe kabla ya kuvaa nguo za ndani
Usivae nguo za ndani mbichi
Usivae nguo za ndani zenye kubana
Usivae nguo za ndani za mpira, vaa cotton 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…