Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Ushauri: nina fungus chini ya pumbu nitumie dawa aina gan coz nimeshatumia aina nyingi za dawa za kupaka kama sonardem na nyinginezo nyingi ila sioni mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman ndgu tumia dawa ya asili tu,fangasi za chini ya pumbu dawa yake ni shahawa za mwanamke ok?ukimkojoza tia tia kidore cha kati paka pumbu zinapona haraka

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Naombeni msaada wa mawazo wanajukwaa nasumbuliwa na fungus sugu nimejaribu kutumia dawa lakini wapi yaaan ninakuwa napatwa na muwasho wa korodani nikianza kujikuna napata maumivu makali naombeni ushauri nifanye nn au dawa ipi nitumie.
 
Nenda hospitali kwa matibabu mazuri zaidi.

Ukishindwa kabisa nunua na utumie fluconazole tabs, clotrimazole ya kupaka eneo husika then, uzingatie usafi & ukavu wa mwili wako na nguo za ndani. (hakikisha unazianika juani/unazipiga pasi)
 
Hapa sio hospital ,labda una mkanda wa jeshi ni maoni yangu .
 
kaka ulishapona fangasi zako kwa njia hii manake nami zinanisumbua.Nataka nijaribu
 
Habari JF DOCTORS, samahani naombeni msaada, mpenzi wangu anasumbuliwa sana na muwasho ukeni mara kwa mara, kaenda sana hospitali wanampa dawa na cream za kupaka, lakini hali inajirudia jirudia, akitumia dawa anapata nafuu temporary baada ya siku kadhaa hali inaanza tena, je tatizo hili linasababishwa na nini? suluhisho la kudumu ni nini? naombeni hata kama kuna tiba mbadala mtushauri ili atumie maana za hospitali naona kama zimemzoea sana
 
Ndugu pole kwa hilo,

Fungus ikiwa niya uken haina haja ya tubes hizo cz hao fungus wako ndan tayar na huenda wako kwenye mfumo wa dam,
Hiyo kuna haja ya kutumia dawa za kumeza siyo za kupaka tena


Atumie dawa inaitwa
Griseofulvin,,,ni vidonge vya kumeza


Weny utalaam zaid wanakuja,lakin hiyo nakuhakikishia atapona,


Zingatia,kama ana mtu wake wakumwingia,lazima watumie dozi wote,
USAF na maji ya kunywa ni lazm,


Uguza pol
 
Jamani karibuni, pia wanawake mliowahi pata tatizo hili la fangasi ukeni na mkapata tiba ya kudumu karibuni mtoe ushauri
 

Atumie crystal cell nitampatia kwa tsh 300,000 tu na itakua historia na pia ukishindwa muanzishie bili ya maziwa mtingi kila siku ajitahidi kunya hata mara tatu au mara mbili akishindwa
 
Atumie crystal cell nitampatia kwa tsh 300,000 tu na itakua historia na pia ukishindwa muanzishie bili ya maziwa mtingi kila siku ajitahidi kunya hata mara tatu au mara mbili akishindwa
asante sana kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…