Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

mnatakiwa mtibiwe wote .yeye akitumia dawa anapona wewe unakuja kumuambukiza tena maana wewe unao hao fangasi pia
 
Grisiofulvin ni mzur mkuu ila pia apate cream yakupaka kama vile gynazole , etc
 
Fungus wakiwa ukeni tayari wanakuwa kwenye mfumo wa damu tena? I see we Paradisehome ni mwongo.Mgonjwa huyu ni heri aende hospitali humu hawaze kupata msaada wowote.
 
Nasumbuliwa na fangas i sehemu za siri nimetumia dawa na dawa lakni siponi plz ushaur nfanyeje?
 
Jf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…