Ukimwi napima sana na sijawah kuwa naoKapimeee damu pia HIV .isijekuwa kinga yamwili imeshuka mkuu
Nielekeze nifanyeje....Usafi
Mkuu nilipata tatizo kama lako, mimi lilinipata kwenye dushe, nikaamua kwenda hospitali wakanipa dawa na kuniambia sio ugonjwa wa zinaa ila ukikutana na mwenza ambaye sio msafi anaweza kukuletea fangasi.Jf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
Kaka hayo mafuta ni yale wanayonunua dukan au ya kutengeneza mwenyewe na kama ni ya dukan ni aina gani maana kuna kampuni nyingi zinauza mafuta ya naziMkuu nilipata tatizo kama lako, mimi lilinipata kwenye dushe, nikaamua kwenda hospitali wakanipa dawa na kuniambia sio ugonjwa wa zinaa ila ukikutana na mwenza ambaye sio msafi anaweza kukuletea fangasi.
Nilitumia dawa za hospitali bila mafanikio, kama ilikuwa inazidi, bahati nikawa nasoma sana google.
Nikaona sehemu wanayasifia sana mafuta ya nazi, wakasema ni tiba ni kubwa, wiki tu nikapona kabisa kabisa.
Apulizie rungu kwenye rungu mwenziepulizia rungu
pole sana ndugu yngu huo ugonjwa ni mbaya sana unasumbua sana wanafunzi hasa wale ambao wanakaa boarding na unasababishwa na 1.kuvaa nguo zinazo bana kwa muda mrefu hasa wakati wa joto 2.kuchangia nguo na watu ambao n waathilika wa ugonjwa huo na hata kuchangia vifaa kma sabuni ,ndoo na mabeseni wakati wa kuoga ,taulo nk nakushauli nduguyangu dawa ya kutibu haraka ni kunyunyuzia poda pia kujiepusha na kushare vitu na watu.ugua poleJf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
Mafuta ya nazi Original, yanapatikana kwenye maduka ya dawa za kienyeji, ni dawa kubwa sana kiongozi.Kaka hayo mafuta ni yale wanayonunua dukan au ya kutengeneza mwenyewe na kama ni ya dukan ni aina gani maana kuna kampuni nyingi zinauza mafuta ya nazi
Dawa ya kudumu ni kuacha kabisa kutumia taulo, au kama ukiamua kuendelea kulitumia lazima uhakikishe kuwa unalianika nje kila linapotumika. Ila nakushauri usilitumie kabisa tumia kanga tuu.Jf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
Tumia pamba, nunua pamba duka la madawa na mafuta yako ya nazi original, pakaa sehemu yote iliyoathirika kila unapotoka kuoga, baada ya kujikausha vizuri na taulo pakaa mafuta ya nazi, wiki nyingi utakuja kunipa mrejesho.Mkuu nilipata tatizo kama lako, mimi lilinipata kwenye dushe, nikaamua kwenda hospitali wakanipa dawa na kuniambia sio ugonjwa wa zinaa ila ukikutana na mwenza ambaye sio msafi anaweza kukuletea fangasi.
Nilitumia dawa za hospitali bila mafanikio, kama ilikuwa inazidi, bahati nikawa nasoma sana google.
Nikaona sehemu wanayasifia sana mafuta ya nazi, wakasema ni tiba ni kubwa, wiki tu nikapona kabisa kabisa.
Saga Tangawizi mbichi(ginger)Jf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
enzi za chuo tukijua tu una hiyo erossion tunakutengaa....[emoji23][emoji23]Mkuu umepata ule ugonjwa tunaita pumbu erosion
Pole sn