Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Jf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano

Hapo kubali yaishe tu au la msingi zaidi nenda kamuone daktari husika usihofu ukweli juu ya afya yako.
 
Ahsante sana mkuu nitaufanyia kazi ushaur wako
 
usafi tu, hakikisha unanyoa kila Mara, hakikisha huvai boxer ambazo ni nylon jitahidi uvae cotton, hakikisha mazingira yanakua makavu kabisa. Ukipata Mafuta ya Nazi halisi Utakua umepona hutahitaji kupiga gemu Ukiwa gizani...
 
Ni usafi tu,utameza dawa,utapaka dawa ila kama mazingira ni yaleyale ni sawa hakuna kitu
 
usafi tu, hakikisha unanyoa kila Mara, hakikisha huvai boxer ambazo ni nylon jitahidi uvae cotton, hakikisha mazingira yanakua makavu kabisa. Ukipata Mafuta ya Nazi halisi Utakua umepona hutahitaji kupiga gemu Ukiwa gizani...
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…