definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Ni kweli kwa ubaya uluopitiliza huwezi kulinganishaAngetusaidia "waganda nao wangelalama ivyo ivyo" hapa hakuna kulaumiana mzee,,,in short GADAFI huwezi mlinganisha na miraisi yetu.
We, li mtu ni mwongo sana sijui ulisomea wapi huo uwongo.pole sana ndugu yngu huo ugonjwa ni mbaya sana unasumbua sana wanafunzi hasa wale ambao wanakaa boarding na unasababishwa na 1.kuvaa nguo zinazo bana kwa muda mrefu hasa wakati wa joto 2.kuchangia nguo na watu ambao n waathilika wa ugonjwa huo na hata kuchangia vifaa kma sabuni ,ndoo na mabeseni wakati wa kuoga ,taulo nk nakushauli nduguyangu dawa ya kutibu haraka ni kunyunyuzia poda pia kujiepusha na kushare vitu na watu.ugua pole
Unao ambao ni HIV - Ve.Ukimwi napima sana na sijawah kuwa nao
Nenda car wash uwe unapigwa presha kwenye hyo injini msee wanguNielekeze nifanyeje....
Kwanini kanga mkuu na sio taulo naomba ufafanuziDawa ya kudumu ni kuacha kabisa kutumia taulo, au kama ukiamua kuendelea kulitumia lazima uhakikishe kuwa unalianika nje kila linapotumika. Ila nakushauri usilitumie kabisa tumia kanga tuu.
Hzo dawa njengine ni za muda tuu.
Uwe na taulo safi ukimaliza kuoga unajikausha vizuri pia uwe unafua boxer na kubadilishaNielekeze nifanyeje....
Unaitumiaje mkuuKuna dawa nyingi za kienyeji ila kiboko ya fangasi aina yoyoe ni chumvi. Iwe ya kwenye miguu au sirini
Hahahahapulizia rungu
Wewe huko kwa bibi unafanyaga hivyo, kumdanganya mwenzako.pulizia rungu
SelfishNi Pm nikupe dawa ya uhakika.
Naunga mkono hoja hapa, am the witness. Mimi zilikuwaga fangasi za miguu katkat ya vidole...Mafuta ya Nazi yaani asikwambie mtu hasa Yale ya asili yaani ya kutengeneza mwenyewe kienyeji (locally), unakuna Nazi kisha tui lake unapika mwenyewe ili upate mafuta yakeMkuu nilipata tatizo kama lako, mimi lilinipata kwenye dushe, nikaamua kwenda hospitali wakanipa dawa na kuniambia sio ugonjwa wa zinaa ila ukikutana na mwenza ambaye sio msafi anaweza kukuletea fangasi.
Nilitumia dawa za hospitali bila mafanikio, kama ilikuwa inazidi, bahati nikawa nasoma sana google.
Nikaona sehemu wanayasifia sana mafuta ya nazi, wakasema ni tiba ni kubwa, wiki tu nikapona kabisa kabisa.
Ni mwisho wa matatizo mkuu, yaani kuna kitu kinaweza kusumbua lakini dawa yake hata hutegemeiNaunga mkono hoja hapa, am the witness. Mimi zilikuwaga fangasi za miguu katkat ya vidole...Mafuta ya Nazi yaani asikwambie mtu hasa Yale ya asili yaani ya kutengeneza mwenyewe kienyeji (locally), unakuna Nazi kisha tui lake unapika mwenyewe ili upate mafuta yake