Jisugue na machicha ya vitunguu swaumu asubuhi, mchana na jioni.......Jf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]pulizia rungu
Kapime magonjwa yazinaaJf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
Machozi yanatoka wapi?
Ukimwi napima sana na sijawah kuwa nao
Endelea kupima siku ukiwa nao sijui utanedelea kipimaUkimwi napima sana na sijawah kuwa nao
Ndo nnUnao ambao ni HIV - Ve.
Sawa kiongozchuma majani ya mchunga kwa wale watu wa pwani ni mboga kisha twanga then weka maji ya vuguvugu na baada ya hapo utakunywa vijko 3 na kupaka sehem zilizo athiri mara tatu kutwa na utapona kabisa
Sawa nduguKuwa makin mjomba,hao wanaharib mfumo wa uzaz,usijeshangaa unashindwa pata mtoto,wah haraka hospital
Sawa kiongozMkuu kanunue white field ile ya kopo......
Paka mara mbili kwa siku baada ya kuoga afu rudi hapa ulete mrejesho mkuu....
Mkuu mshauri awe na feni kabisa maana anaweza hisi pumbu linanyofoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tumia Whitefield ointment ..inauzwa 1000...hakikisha unabadili boxer asubuhi najion...
Tukutane Jumatatu uniletee majibu.
Nikweli mwenyewe sasaivi situmii tena taulo aseeDawa ya kudumu ni kuacha kabisa kutumia taulo, au kama ukiamua kuendelea kulitumia lazima uhakikishe kuwa unalianika nje kila linapotumika. Ila nakushauri usilitumie kabisa tumia kanga tuu.
Hzo dawa njengine ni za muda tuu.
Tulia kijana, hii kitu ishatolewa ufafanuzi hapa na sie wajanja huwa hatukulianzishia uzi, zaidi tulilitafuta na tukajipatia tiba ya bei ndogo kuliko ya milele naweza nasema hivyo, maana ilo tatizo lilikua sugu lakini sasa ni historyJf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
Sawa mkuuTulia kijana, hii kitu ishatolewa ufafanuzi hapa na sie wajanja huwa hatukulianzishia uzi, zaidi tulilitafuta na tukajipatia tiba ya bei ndogo kuliko ya milele naweza nasema hivyo, maana ilo tatizo lilikua sugu lakini sasa ni history
Nenda duka la dawa kanunue seprine za 1000 then nunua mafuta baby care ndogo kuliko zote
Saga ile seprine yote iwe unga uchanganye na baby care
Anza kupata
Dah.... Kuna MTU alikuja na formula hii akidai in dawa ya "nguvu" [emoji13] [emoji87] [emoji41]Saga Tangawizi mbichi(ginger)
Changanya pamoja na ndimu
Mchanganyiko huu kunywa
Kidogo na nyengine paka sehemu iliyoathiriwa unaweza
Pia kuongeza asali mbichi ya nyuki iliyo safi mtumizi kisia
Mwenyewe tu
Haina madhara nichakula na inatibu doz siku 21 isipunguwe
Maratatu kwa siku Rejesha shukrani zetu pindi ukipona
Mkuu