futurestar
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 245
- 77
hizi cream ndio kama Clotrimazole ,Nizoral,Ketoconazole ama ni tofauti ???Ukipata cream jamii ya allylamines kwenye pharmacy kubwa itakufaa sana.
Ukioga hakikisha umejikausha kabisa na taulo
Usishirikiane taulo na mtu mwingine na ufue kila wiki na kulianika juani.
Paka dawa mara mbili au tatu kwa siku, asubuhi ukiamka, lunch time na kabla hujalala.
Vaa boxers za cotton.
Ndiyo hizohizi cream ndio kama Clotrimazole ,Nizoral,Ketoconazole ama ni tofauti ???
naomba kujua
Nimepona....nitaweka tips nilizotumiaWrite your reply...kaka ilo tatzo mm lina nitesa mpaka leo yan sielewi nn shida nawashwa aswa usiku au nikivua nguo mda wa kuoga cjui ata nifanye nn jaman
Oh, nafurahi kuwa ulipona na tatizo lako la fungus…japo nimekuta umepona, nakupa pole kwa mateso yaliyokupata!Nimepona....nitaweka tips nilizotumia
[emoji3][emoji3][emoji3] poleeeHuo ufala ulinipata nikiwa form 3 aisee acha kabisa.
Chanzo nilinunua boxer za mpira Ubungo pale. Zile boxer zilinisababishia hayo matatizo kende zikawa na rangi ya kungu flani na wingu jeusi jeusi usipime hayo maumivu yake. Ilikuwa class sikai halafu kipindi cha joto yanawasha kinoma
Likizo nilikuja nikapata cream na nikabadili boxers na kununua za cotton nikapona. Tangu na hapo sijawahi kulipata tena hilo gonjwa.
Wenzio hawajasoma enzi za boksawe sekondari ulkua unavaa chupi (triangle ) [emoji28]
Mi nlkua navaa boksa
Nilikuwa natembea na powder Mfukoni, kwa ajili ya lubricant na kukausha.Pugu boys wanaijua vzr.
Zilikuwepo boksa fulani hivi cheap cheap za buku mbili.Wenzio hawajasoma enzi za boksa