Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Boss nilichaguliwaga hiyo shule a level ila sikwenda nikapiga private hapa hapa mtaani,,, mkuu walau nielezee kdgo kuhusu hiyo shule maana nilitaka sana kuja ila wazee wangu wakagoma
 
Ugonjwa Mbaya Sana Huu, Pumbu Zinawasha Balaa, ukipaka spirit utacheza dansi bila ala. Nilfikiri chanzo ni yale makopo ya kutawazia ya vyoo vya uswazi. Huu Ugonjwa Ukimpata Mwanamke Kwenye Dudu lake ni balaa kubwa kujikuna huko ndani kwa muwasho atakaoupata ni siri yake
 
e e e e ehhh usiombe hii kitu

temeni mate chini

mimi pumbu lilichubuka ngozi likawa loteee jekundu kama nyanya iliyotolewa ganda la juu.

unatembea umeachama minguu nyuzi 90 kwa sababu likigusa tu ngozi ni umemwagia pilipili.

pumbu erosion iacheni tu wazee....

jamani sikuamini kama nilipona mmong'onyoko wa pumbu.
 
Mmmmhh!! Watu mnapitia magumu sana!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haki nimechekaaaaaa
 
Je wanaume wanatakiwa kuvaa chupi au boksa?
 
Pumbu Jero imenipata majuzi kati tu, nilivaa boxer 2 days, hyo siku ya pili niliunganisha 24hrs job sitosahau ilibidi nivue boxer nitie kwenye begi
mbona watu tunamaliza wiki 4 na kaboxer kamoja na hatupati hizo vitu??

kwahiyo mkuu siku hiyo ulikuwa comfortable kabisa baada ya kuweka boxer kwenye begi??
 
Toilet paper ni muhimu chooni, hata kama unajisafisha na maji, jikaushe na toilet paper.

Wengine wanakuwa na ki face towel bafuni kwa kwa shughuli hiyo.

Ni muhimu pia kuvaa boxers za cotton.
 
mbona watu tunamaliza wiki 4 na kaboxer kamoja na hatupati hizo vitu??

kwahiyo mkuu siku hiyo ulikuwa comfortable kabisa baada ya kuweka boxer kwenye begi??

Atakuwa ana vidonda huyo, siku mbili nakataa.

In fact, wakati niko boarding, huu ugonjwa ulikuwa haukalishi nimevaa chupi au sijavaa, ulikuwa lazima unijie. Nikirudi likizo napona hata bila kutumia dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…