Tatizo la macho kutokuona mbali

Tatizo la macho kutokuona mbali

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
261
Reaction score
279
Wadau kama mada inavosema, juzi nilienda hospital nkakutana na Dokta wa macho coz nna tatizo la kutokuona vzuri hasa mtu akiwa mbele yangu mita 50, baada ya dokta kuyachunguza macho yangu alinambia kuwa mishipa ya fahamu ya jicho langu ishahatibika na haiwezi kupona tena.Alinipa dawa ambazo zmeandikwa VITACAP kwenye box.Naomba kama kuna mtu anajua dawa mbadala ambazo zitaniwezesha nione vizur anisaidie, natanguliza shukran kwa madoctor na wadau wengine.
 
Pole sana mkuu.

Ila umenitisha kidogo maana Nina tatizo kama lako na lina miaka kidogo ila sijawahi kwenda kwa wataalamu.
Ndoo walivonambia sasa cjajua ila nataka nkapime tena sehem nyingne
 
Pole sana mkuu.

Ila umenitisha kidogo maana Nina tatizo kama lako na lina miaka kidogo ila sijawahi kwenda kwa wataalamu.
Vp unatumia miwan mkuu coz mm nliambiwa nitengenezewe miwan nkasta kidogo nikamwambia cjajipanga na gharama za miwan
 
Pole mkuu. Hata mimi nilipata shida kama yako but kwa sasa afafhali kidogo. Nilitumia vidonge vya vitamin b complex.
 
Acha kula vyakula vya sukari na wanga ndivyo vinsvyosababisha misuli kwenye mwili wa binadamu kukosa nguvu. Mfano nzuri mtu mwenye kisukari misuli ya macho na ya mwili kwa ujumla inalegea. Kula mboga za majani ziandaliwe vizur unapopika hakikisha ukijani unabaki moto wa kawaida dk 10 - 15 mboga tayari kwa kuliwa.
KUMBUKA AFYA YAKO ITAJENGWA NA WW MWENYEWE. NI RAISI SANA KUMBOMOA MWILI LAKIN NI GHARAMA KUBWA KUUJENGA
 
Pole sana ndg kwa tatizo lako ila nimejiuliza maswali mengi sana juu ya hiki ulichoambiwa na huyu mtaalam(Dr). Hapa nimejiuliza kwamba yeye ni opthalmologist ama? Je ni Medical Doctor ( MD) ama yeye ni wa daraja lipi katika cadre ya afya? Lakini pia ulifanyiwa vipimo vipi kabla hajafikia kusema hilo tatizo? Mm nakushauri uonane na opthalmologist ufanyiwe vipimo sahihi. Sijui una umri gani? Nadhani pia tujitahidi kuwaona wataalam sahihi ili tupate tiba sahihi na majibu sahihi maana hii taaluma ina watu wabobezi na wadokozi pia. Ukihitaji msaada zaidi tuwasiliane.
 
Asante sana mkuu, ubarikiwe
 
Asante sana mkuu, binafsi mm nna miaka 24,level yake ya elimu cjaijua, kuhusu vipimo kuna mitambo unakuwa unaweka macho anayaangalia kupitia kwenye kama kibinocular, baada ya apo akanipeleka sehemu ya kutest miwan sema miwan sikuchukua coz naichukia af naskia wanasema ukishazoea kutmia miwan unakuwa mtumwa wa miwan na unaweza usione tena pasipo miwan.Af mkuu itakuwa vizuri zaid nikipata mawasiliano yako
 
Pole mkuu. Hata mimi nilipata shida kama yako but kwa sasa afafhali kidogo. Nilitumia vidonge vya vitamin b complex.
Hata Mimi niliambiwa nitumie vitamin B maisha yangu yote,natumia lakini hivi sasa naona tatizo linanitesa sn maana ....
 
Back
Top Bottom