Tatizo la macho kutokuona mbali

Tatizo la macho kutokuona mbali

Hata Mimi niliambiwa nitumie vitamin B maisha yangu yote,natumia lakini hivi sasa naona tatizo linanitesa sn maana ....
Ngoja tuwasikilize wataalamu humu watatushauri vp! Maana nikifikiria miwan roho inaumia, miwan nitatumia but itakuwa last option
 
Wadau kama mada inavosema, juzi nilienda hospital nkakutana na Dokta wa macho coz nna tatizo la kutokuona vzuri hasa mtu akiwa mbele yangu mita 50, baada ya dokta kuyachunguza macho yangu alinambia kuwa mishipa ya fahamu ya jicho langu ishahatibika na haiwezi kupona tena.Alinipa dawa ambazo zmeandikwa VITACAP kwenye box.Naomba kama kuna mtu anajua dawa mbadala ambazo zitaniwezesha nione vizur anisaidie, natanguliza shukran kwa madoctor na wadau wengine.
Mkuu nimeku txt ingia inbox yako
 
Je tatizo la macho Kuwa mekundu tiba yake niipi au hata h
Ushauri
 
Back
Top Bottom