Ndoo walivonambia sasa cjajua ila nataka nkapime tena sehem nyingnePole sana mkuu.
Ila umenitisha kidogo maana Nina tatizo kama lako na lina miaka kidogo ila sijawahi kwenda kwa wataalamu.
Vp unatumia miwan mkuu coz mm nliambiwa nitengenezewe miwan nkasta kidogo nikamwambia cjajipanga na gharama za miwanPole sana mkuu.
Ila umenitisha kidogo maana Nina tatizo kama lako na lina miaka kidogo ila sijawahi kwenda kwa wataalamu.
Situmii miwani mkuu, sipendi kuvaa miwani.Vp unatumia miwan mkuu coz mm nliambiwa nitengenezewe miwan nkasta kidogo nikamwambia cjajipanga na gharama za miwan
Njoo uombewe
Asante mkuuPole mkuu. Hata mimi nilipata shida kama yako but kwa sasa afafhali kidogo. Nilitumia vidonge vya vitamin b complex.
Lina kama miaka miwiliTatizo limekuanza lini mkuu?
Asante sana mkuu, ubarikiweAcha kula vyakula vya sukari na wanga ndivyo vinsvyosababisha misuli kwenye mwili wa binadamu kukosa nguvu. Mfano nzuri mtu mwenye kisukari misuli ya macho na ya mwili kwa ujumla inalegea. Kula mboga za majani ziandaliwe vizur unapopika hakikisha ukijani unabaki moto wa kawaida dk 10 - 15 mboga tayari kwa kuliwa.
KUMBUKA AFYA YAKO ITAJENGWA NA WW MWENYEWE. NI RAISI SANA KUMBOMOA MWILI LAKIN NI GHARAMA KUBWA KUUJENGA
Watu ni wakali hatareeeeAcha ujjinga wewe
Asante sana mkuu, binafsi mm nna miaka 24,level yake ya elimu cjaijua, kuhusu vipimo kuna mitambo unakuwa unaweka macho anayaangalia kupitia kwenye kama kibinocular, baada ya apo akanipeleka sehemu ya kutest miwan sema miwan sikuchukua coz naichukia af naskia wanasema ukishazoea kutmia miwan unakuwa mtumwa wa miwan na unaweza usione tena pasipo miwan.Af mkuu itakuwa vizuri zaid nikipata mawasiliano yakoPole sana ndg kwa tatizo lako ila nimejiuliza maswali mengi sana juu ya hiki ulichoambiwa na huyu mtaalam(Dr). Hapa nimejiuliza kwamba yeye ni opthalmologist ama? Je ni Medical Doctor ( MD) ama yeye ni wa daraja lipi katika cadre ya afya? Lakini pia ulifanyiwa vipimo vipi kabla hajafikia kusema hilo tatizo? Mm nakushauri uonane na opthalmologist ufanyiwe vipimo sahihi. Sijui una umri gani? Nadhani pia tujitahidi kuwaona wataalam sahihi ili tupate tiba sahihi na majibu sahihi maana hii taaluma ina watu wabobezi na wadokozi pia. Ukihitaji msaada zaidi tuwasiliane.
Shukuran mkuuNjoo uombewe
Hata Mimi niliambiwa hivyo mkuu sasa cjui nifanyeje.!Hiyo VITACAP unatumia kutwa Mara ngapi mkuu?Ndoo walivonambia sasa cjajua ila nataka nkapime tena sehem nyingne
Mara moja kwa siku 30, kidonge kimojakimojaHata Mimi niliambiwa hivyo mkuu sasa cjui nifanyeje.!Hiyo VITACAP unatumia kutwa Mara ngapi mkuu?
Hata Mimi niliambiwa nitumie vitamin B maisha yangu yote,natumia lakini hivi sasa naona tatizo linanitesa sn maana ....Pole mkuu. Hata mimi nilipata shida kama yako but kwa sasa afafhali kidogo. Nilitumia vidonge vya vitamin b complex.