Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Alacho mama ndicho alacho mtoto, hivyo ukipewa ushauri huo tambua unakuhusu wewe unaenyonyesha.
ana miezi mutatu huyo dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana miezi mutatu huyo dada
Kuna vyakula ambavyoi vina negative effects kwenye mucus membrane. Vyakula hivi ni kama nyama nyekundu, siagi, maziwa, cheese, mayai, ice cream, yoghurt na mikate.
Mpe mtoto matunda, mboga za majani, vyakula jamii ya maharage na jamii ya njugu kama karanga na korosho pamoja na maji ya kunywa plain.
Tatizo kubwa ni allergy reaction zaidi ya hapo wanakulaSky kuna mahali nilisoma kuwa mtoto wa chini ya mwaka mmoja hapaswi kula samaki, je ni kweli?
Uko vizuri sana mimi tokea utotoni mafua yalikuwa hayakati nikaambiwa nikae mbali na vyakula ulivyoorodhesha pamoja na nyanya ya kupikia mboga , ila nikijaribu kugusa kimoja wapo mafua yananipata wakati huo huo ni shida kuviepuka ila inabidi tuKuna vyakula ambavyoi vina negative effects kwenye mucus membrane. Vyakula hivi ni kama nyama nyekundu, siagi, maziwa, cheese, mayai, ice cream, yoghurt na mikate.
Mpe mtoto matunda, mboga za majani, vyakula jamii ya maharage na jamii ya njugu kama karanga na korosho pamoja na maji ya kunywa plain.
Mara nyingi wali maharage ugali mchicha, kisamvu is the bestUko vizuri sana mimi tokea utotoni mafua yalikuwa hayakati nikaambiwa nikae mbali na vyakula ulivyoorodhesha pamoja na nyanya ya kupikia mboga , ila nikijaribu kugusa kimoja wapo mafua yananipata wakati huo huo ni shida kuviepuka ila inabidi tu
Samaki wa baharini ndo wabayaSky kuna mahali nilisoma kuwa mtoto wa chini ya mwaka mmoja hapaswi kula samaki, je ni kweli?