Tatizo la mafua lisiloisha

Tatizo la mafua lisiloisha

some how true mana alikunywa then wakamcheluisha but alicheua pitia mdomo au pua hapo sijuwi but sure alikunywa na kucheua, suluhisho ni nini mkuu
Watoto wengi huwa naona wakikua kiumri inawaachia hyo hali sidhani kama kuna dawa yake labda mjaribu kwenda hospital
 
Aende hospitali wamfanyie upasuaji wa pua atapona kabisa
 
Assalam wakuu
kuna Mtanzania kazaliwa vyema tu ila baada ya kudondoka kitovu alisafirishwa toka mkoa mmoja hadi mwingine akiwa na mama yake lengo ni mamamtu apate huduma baada ya uzazi.
safari yao ilitumia saa 5 hadi kufika kwa usafiri wa basi barabara ya vumbi. baada ya kufika dogo huyo akaanza kushambuliwa na flue nadhani sababu ya vumbi barabarani.
ila kinachoshangaza ni kuwa tangu yaanzae hayajawahi pona kabisa though yanapungua. dogo ana miezi 4 now anatumia dawa ila mambo bado bilabila:
je nini yaweza kuwa tatizo?
je ni hali ya kawaida hii?
je yaweza kuwa ana amepata infection yoyote?
NAWSILISHA NIKISUBIRI TECHNICAL ADVICE/REASONING
maswali yote hayo atayajibu daktari hospitalini tu humu hakuna
 
Back
Top Bottom