sweetdada
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 517
- 169
Wapendwa wana JF habari zenu wote,
Hii kam awiki ya pili magoti yanauma nikikaa yanavuuta inabidi nisimame kama dakika 10 hivi ndo nikae tena.
Hii inatokana na nini?
Kuna mtu kaniambia nivae bangili ya kopa itasaidia lakini hakueleza kwa undani.
Je kuna anayefahamu kopa na kuumwa kwa magoti kuna relation gani?
Msaada please kabla sijajipeleka hospitali.mi ni muoga sana wa hospitali.