sweetdada, inaelekea una matatizo ya arthritis -- rheumatoid arthritis, oesteoarthritis, au gouts. Ningekushauri kwanza uende hospitali ukaonane na mtaalamu (hapa nawekea msisitizo, mtaalamu) wa mifupa ili ujue km kweli una tatizo hilo au ni lingine tofauti. Km ni hayo niliyoyaorodhesha, usikimbilie kununua dawa; watakuandikia pain killers, ambazo ukitumia muda mrefu, zinaweza kukusababishia vidonda vya tumbo.
Lkn, kwa sasa, anza kutumia asali safi/halisi iliyochanganywa na mdalasini wa unga, kijiko 1 cha kulia; kutwa mara 2 au 3.
Utaijuaje asali halisi? Chovya njiti ya kiberiti (upande wa baruti) ktk asali. Iwache/Ishikilie kwa dk km 5, kisha iwashe; ikiwaka, asali uliyojaribia ni halisi, otherwise :A S-cry: