Tatizo la Manii kuwa kidogo na mepesi mno wakati wa kukojoa kwa mwanamme. Je inatokana na nini?

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Tatizo la manii kuwa kidogo na mepesi mno wakati wa kukojoa kwa mwanamme.
Je inatokana na nini?
Je inaweza sababisha mwanaume ashindwe tungisha mimba ?
Pia naomba msaada wa kulimaliza hilo tatizo wakuu.
 
Manii kuwa ndogo inaweza kukufanya usiwe na uezo wa kumpa mtu mimba. Low sperm count, ebwana chukua kabichi kama ile jamaa wanayoiandaaga sokoni wanakuwa wameshaikwaruza iko style ya kachumbari......mwagia asali mbichi kiasi cha kutosha uwe unakula asbh na jioni, 21 days. Kabichi kiasi cha viganja vitatu mpaka vitano vya mtu mzima.
 
Hypospermia ( low semen volume) normal inatakiwa iwe 1.5-2mls ivyo basi huwez pata jibu sahihi bila kufanya seminalysis ( kipimo cha sperm) kwa ujumla hosptal
 
nenda hospital ongea na docter, watakushauri ufanye kipimo (semen analysis) na testosteron level. hii hormone ikiwa low lazima utakua unazalisha volume ndogo sana ya sperm. low sperm volume saa zingine inasababishwa na uvutaji wa sigara (chain smocking) ulevi hasa wa pombe kali, pia epuka kuvaa nguo za ndani zinazobana, fanya zoezi na la msingi sana kula sana chakula ambacho ni balanced diet na ufanye mazoezi kiasi. kula sana vyakula vyenye madini ya zinc kubust testosterone production
 
Ngoja nikutoe matongo

98% ya wanaume wanaotoa small volume of semen huwa wanakuwa na high sperm quality ukilinganisha na wanaume wanaotoa large volume of semen.

Tuje kwenye suala la mimba
Usifikiri kwamba mimba ili itungwe inahitaji volume kubwa ya semen. Sperm moja tu ikiwa na quality (hasa high speed of motility na shape) 99.9% mwanamke lazima ashike mimba

Tatizo ni kama hauna kabisa sperm kwenye semen hapo ndipo mwanamke hawezi kupata mimba

TRUST ME.
 
True
 
avatar yako pekee inadhihirisha usahihi wa ushauri wako.....ahsante
 
Mkuu uchache huo kivipi yani?
Hayajai kwenye kijiko?

Au uchache huo ulilinganisha na yepi?
Au zamani ulikuwa unazo nyingi mkuu saiv zimepungua?
 
Haujui, na ni mepasi kabisa.
 
Umeonaje hiyo kiwango kama haujapiga PULI? Maana hauwezi kuona amount kama ikiwa ndani ya kwa bibi au wakati wa kupizi ulitoa Dushe ili kuona amount?
 
Ngoja nikutoe matongo

98% ya wanaume wanaotoa small volume of semen huwa wanakuwa na high sperm quality ukilinganisha na wanaume wanaotoa large volume of semen.

Tuje kwenye suala la mimba
Usifikiri kwamba mimba ili itungwe inahitaji volume kubwa ya semen. Sperm moja tu ikiwa na quality (hasa high speed of motility na shape) 99.9% mwanamke lazima ashike mimba

Tatizo ni kama hauna kabisa sperm kwenye semen hapo ndipo mwanamke hawezi kupata mimba

TRUST ME.
Hii ndo fact
 
nenda hospital ongea na docter, watakushauri ufanye kipimo (semen analysis) na testosteron level. hii hormone ikiwa low lazima utakua unazalisha volume ndogo sana ya sperm. low sperm volume saa zingine inasababishwa na uvutaji wa sigara (chain smocking) ulevi hasa wa pombe kali, pia epuka kuvaa nguo za ndani zinazobana, fanya zoezi na la msingi sana kula sana chakula ambacho ni balanced diet na ufanye mazoezi kiasi. kula sana vyakula vyenye madini ya zinc kubust testosterone production

Mkuu ni spitali gani kwa Dar naweza pata hivo vipimo
 
Punguza ubaharia mkuu ukimwaga kila siku haiwez toka Yenye nguvu
 
Back
Top Bottom