Tatizo la Manii kuwa kidogo na mepesi mno wakati wa kukojoa kwa mwanamme. Je inatokana na nini?

Tumia mihogo,karanga mbichi + Nazi itaongeza wingi wa sperms ila kama hazina nguvu ya kutungisha mimba iyo ni case nyingine,amor njoo ukazie

Cc Kingsmann
 
Ushamaliza mchezo amor. Akitumia huu mchanganyiko ataogelea manii zake pindi amwagapo lile bao kiherehere. Kama haogelei basi ajue still bado ana low sperm count.[emoji23][emoji23][emoji23]

Cc Unforgetable
 
na tatizo la low sperm count linasolvika vipi mkuu?
 
Back
Top Bottom