Tatizo la matiti kutoa maji maji

Basi kawaida why ubinye? me nikajua Maji yanatoka menyewe automatically
 
Sio kawaida sbb wasichana wengine hawana hii kitu.

kapime homon, mie mwenyewe nina tatizo kama hilo nimepima homon nimeambiwa nina homon nyingi za maziwa ndo maana inakuwa hivyo.
 
Naomba msaada wa mawazo jaman, mwenzenu ninatatizo la kutokwa na majimaji kwenye matiti, tatizo hili linatakriban miaka mitatu na lilianza baada ya mimba kuharibika.

Nimeenda hospitali na kupewa dawa mbalimbali lakini hakuna.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…