BARIADI-KWETU
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 173
- 39
Basi kawaida why ubinye? me nikajua Maji yanatoka menyewe automatically
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It may be Galactorrhea, sema hii ni maziwa sio maji.
Basi kawaida why ubinye? me nikajua Maji yanatoka menyewe automatically
Sio kawaida sbb wasichana wengine hawana hii kitu.
Hosp. walisema nini kinasababisha??
Walisema kunahomon flani zimezidi kiwango, wakanipa dawa nikatumia lakini hazikunisaidia
Hormone gani? Prolactin?
Majimaji yanarangi gani?