mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Ivi watanzania uwezo wetu wa kufikiri umefikia apa??
Yan maelezo yako haujamuona ata Dr then unakuja kuomba ushaur!!
Aya ukiambiwa una kansa za pumb.u utawalaumu watu, maana tunatoa majbu kwa vipimo vya mwandiko wako
Fanya ukamuone Dr, punguza zinaa zisizo na tija